ram
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 9,326
- 8,505
Umesoma Mwenge mwaka gani?Zote nazijua mimi nimesoma miaka hiyo nyanza,mwenge n makongoro ziko jirani,halafu mjini kati ilikua na shule 4 yani mirongo,nyanza,nyamagana,bugarika enzi hizo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesoma Mwenge mwaka gani?Zote nazijua mimi nimesoma miaka hiyo nyanza,mwenge n makongoro ziko jirani,halafu mjini kati ilikua na shule 4 yani mirongo,nyanza,nyamagana,bugarika enzi hizo
Yaani usije kabisa huku hasa kama umeoa ndio mkeo asije kabisaaaaaaaaaa!Sijui kwanini naonaga mikoa ya Kanda ya ziwa iko kushoto. Sijawahi kwenda huko na sitawahi.
Hongera kwa kupakumbuka vyema Nyumbani.Nimesoma Kitangiri pale msingi from 90 to 96,, nakumbuka na "vidudu" nilipigia pale parokiani Kirumba kwenye lile ghorofa pembeni,, mitaa yetu ya misele ilikua ni Mwaloni, Furahisha, Magomeni, Optima,, Home Kitangiri Madukani bila kusahau jmosi kufua ziwani Mihama au Bwiru
Niliwahi kuapa kwamba sinto kaa niishi mikoa ya Singida, Dodoma na Tabora.Sijui kwanini naonaga mikoa ya Kanda ya ziwa iko kushoto. Sijawahi kwenda huko na sitawahi.
Hilo eneo lina ofisi na makazi ya waheshimiwa, labda kama hakuna mziki mkubwaYah anajenga Buswelu kona ya kwenda wilayani...
Nyakabungo Primary , shule yangu Kitambo sanaNyakabungo unaiachache. Maana enzi za mkoloni ilikuwa middle schoo wakati Milongo ni lower school
Wakati unasoma, Unamkumbuka Mwalimu Chagati ?Nimesoma Kitangiri pale msingi from 90 to 96,, nakumbuka na "vidudu" nilipigia pale parokiani Kirumba kwenye lile ghorofa pembeni,, mitaa yetu ya misele ilikua ni Mwaloni, Furahisha, Magomeni, Optima,, Home Kitangiri Madukani bila kusahau jmosi kufua ziwani Mihama au Bwiru
Magnum kwa Matata , Ha ha ha ,Optima,,
Moja ya Nightclub kali za enzi hizo mjini,, sambamba na Mugnum na Vijana Social
Unamkumbuka mwl Gilala na Jirabi baadaye aliahimishiwa Kirumba s/m, walikuwa wakali balaaNyakabungo Primary , shule yangu Kitambo sana
Mtata kweliMagnum kwa Matata , Ha ha ha ,