Ijue Kirumba jijini Mwanza kwa maandishi

Kweli Hali ilikua ngumu,nikikumbuka la kairo miaka Ile ilikua poa Sana.

Villa nasikia CCM wamempiga figisu hapo kwny eneo lao Ila Sina uhakika,nilisikia huyo jamaa wa Villa kuna sehemu anajenga club hapo Mwz Ila sikumbuki Ni sehemu gani.
Busweru huku isha kamilika ni bonge la kiwanja mwanza hakuna, labda malaika

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Tupo pamoja mkuu tunajuzana.
 
Kwa sasa Uwanja hauko Kirumba bali kata ya Kitangiri.
 
Mkuu umesahau na hili,kirumba huwa mchana ina uwanja wa kucheza mpira wa miguu miwili,ilq usiku upo uwanja wa kucheza mpira wa mguu mmoja,ila utofaut ni kwamba mpira wenyew uchezwa kuzungula nje ya uwanja
 
🀣🀣🀣 Ila usiku hawachezi mpira hao ni wanariadha wanao zunguka uwanja.
Meter 100
 
Kirumba uwanja umekuta jina hilo,zamani kirumba kulikua na waarabu wengi sana hiyo mitaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…