Ijue Kirumba jijini Mwanza kwa maandishi

Labda wewe mgeni Mwanza, na hiyo zamani unayosema sijui ni zamani ipi, shule kongwe hilo eneo ni Kirumba, Kitangiri, Mwenge na Makongoro, watu tumesoma hapo 80's useme zamani haikuwepo
Zote nazijua mimi nimesoma miaka hiyo nyanza,mwenge n makongoro ziko jirani,halafu mjini kati ilikua na shule 4 yani mirongo,nyanza,nyamagana,bugarika enzi hizo
 
Kimpaka wa kata Mwenge ipo kata ya Nyamanoro
 
Reactions: ram
Labda wewe mgeni Mwanza, na hiyo zamani unayosema sijui ni zamani ipi, shule kongwe hilo eneo ni Kirumba, Kitangiri, Mwenge na Makongoro, watu tumesoma hapo 80's useme zamani haikuwepo
Umeisahau nyanza my school
 
Reactions: ram
Nyakabungo unaiachache. Maana enzi za mkoloni ilikuwa middle schoo wakati Milongo ni lower school
Zote nazijua mimi nimesoma miaka hiyo nyanza,mwenge n makongoro ziko jirani,halafu mjini kati ilikua na shule 4 yani mirongo,nyanza,nyamagana,bugarika enzi hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…