Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
- Thread starter
- #41
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeambiwa uongo ukaumini, za kuambiwa changanya na zako.Hio nchi masikini ijenge wapi majengo ya kisasa kama hayo
Ni sawa kabisa na ni vizuri.China inaplay part kubwa sana kwenye maendeleo ya North Korea
Ndio nchi pekee ambayo inafanya naye biashara kwa kiasi kikubwa kwenye import na export
Hawa ndugu wanafanya hivi kulinda tamaduni zao walizorithishwa.Na ndiomaana hutokuja sikia chochote kutoka kwao zaidi ya propaganda.Uko tatizo liko sehemu hizi ........ndugu yako akireta tatizo la kuikimbia inchi shida na matatizo yote mtabeba familia yake nzima ............na kama ujazaliwa city centre huwezi kwenda kuishi......labda uwe na sababu maalumu tu labda kipaji au una akili sana ...........hilo ni taifa la kifara sana......hauluhusiwi kusherehekea birthday siku ambayo alizaliwa huyo kiduku au kufanya sherehe siku aliyofariki baba au babu yake kiduku........ni marufuku kuvaa jeans maana wanasema ni vazi lasmi la marekani na wakati marekani ni adui zao.............kuna mengi ya kiboya na kifara sana kuanzia kunyoa mpaka mitindo ya kimaisha ikiwemo kutozima radio muda wote huku kukiwa hakuna TV wala radio zinazo milikiwa na raia zote ni Mali ya serikali
Umesema vyemaNi sawa kabisa na ni vizuri.
Kwa sababu ya chuki ya nchi moja TU,inazishawishi nchi zote duniani ziitenge hata zile zisizo na chuki nayo.
Wao west wanafanya biashara na kushirikiiana wao kwa wao na wao na wengine kwao ni halali na ni sawa tu.wacha china ishirikiane nao.
Tanzania na Aftika tulikua nanushidikiano nao wakatulazimisha TUvunje mahusiano.
Hii nzuri sana, mambo ya kuiga iga west ndio yanapelekea mambo ya upinde, safi sana Kiduku natamani Tanzania iige mwenendo huo. Unatoka zako Tabor unakuja Dar huna shughuli yoyote ya kufanya, baki kwenu ushiriki katika kuijenga Tabora yenu.Uko tatizo liko sehemu hizi ........ndugu yako akireta tatizo la kuikimbia inchi shida na matatizo yote mtabeba familia yake nzima ............na kama ujazaliwa city centre huwezi kwenda kuishi......labda uwe na sababu maalumu tu labda kipaji au una akili sana ...........hilo ni taifa la kifara sana......hauluhusiwi kusherehekea birthday siku ambayo alizaliwa huyo kiduku au kufanya sherehe siku aliyofariki baba au babu yake kiduku........ni marufuku kuvaa jeans maana wanasema ni vazi lasmi la marekani na wakati marekani ni adui zao.............kuna mengi ya kiboya na kifara sana kuanzia kunyoa mpaka mitindo ya kimaisha ikiwemo kutozima radio muda wote huku kukiwa hakuna TV wala radio zinazo milikiwa na raia zote ni Mali ya serikali
Ingia YouTube, tafuta DW documentary ya inside North Korea utakubaliana na mtoa thread. Au tafuta documentary yoyote ya NK. Utakubali wale jamaa wako mbali sana, pamoja na kuwa labelled kuwa ni maskini in terms of GDPPicha za kuedit hizo panki Hana akili ya kujenga maghorofa bali ya mabomu
Uko tatizo liko sehemu hizi ........ndugu yako akireta tatizo la kuikimbia inchi shida na matatizo yote mtabeba familia yake nzima ............na kama ujazaliwa city centre huwezi kwenda kuishi......labda uwe na sababu maalumu tu labda kipaji au una akili sana ...........hilo ni taifa la kifara sana......hauluhusiwi kusherehekea birthday siku ambayo alizaliwa huyo kiduku au kufanya sherehe siku aliyofariki baba au babu yake kiduku........ni marufuku kuvaa jeans maana wanasema ni vazi lasmi la marekani na wakati marekani ni adui zao.............kuna mengi ya kiboya na kifara sana kuanzia kunyoa mpaka mitindo ya kimaisha ikiwemo kutozima radio muda wote huku kukiwa hakuna TV wala radio zinazo milikiwa na raia zote ni Mali ya serikali
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏Hawa ndugu wanafanya hivi kulinda tamaduni zao walizorithishwa.Na ndiomaana hutokuja sikia chochote kutoka kwao zaidi ya propaganda.
Shida ni wewe ulie ziacha tamaduni zako na kuzifua za wazungu kwa kisingizio cha Globalisation.
Na ndomaana asaivi mwanaume kuolewa kawaida ila si kwa KIDUKU
Kuna watu ni wajinga sana ndugu,hata akiingia YouTube atakuambia ni picha zilizotengwnezwa ama taarifa feki.Ingia YouTube, tafuta DW documentary ya inside North Korea utakubaliana na mtoa thread. Au tafuta documentary yoyote ya NK. Utakubali wale jamaa wako mbali sana, pamoja na kuwa labelled kuwa ni maskini in terms of GDP
Sijajua unanikosoa kwenye kitu gani?.......nahisi na wewe ni mjumbe wa dp world .......tena ni lgbtq wa hediUmeandika uongo mtupu hata kuandika TU kunakufanya usiaminike.
Hebu Ina.
*Uko badala ya huko,
*Akieeta badala ya akileta,
*Inchi badala ya nchi,
*Ujazaliwa badala ya hujazaliwa,
*Hauluhusiwi badala ya hauruhusiwi,
*Lasmi badala ya rasmi,
Mambo mengine ni Kila nchi iheshimu tamaduni za wengine.
Ndio USA ni adui wa NOko.
Sasa hebu fikiria kwa utamaduni wa USA ni ruksa kufanya mapenzi na mwanaume mwenzio ama kufanya mapenzi na mwanaume mwenzio.
Kwa hiyo unataka kusema NOKO waige tabia hii?
Maana yangu Noko wameamua kulifanya vazi la jinsi ni haramu kwani shida Iko wapi.?