Ijue Korea Kaskazini kwa Undani (Known Details of North Korea)

Ijue Korea Kaskazini kwa Undani (Known Details of North Korea)

Hii nzuri sana, mambo ya kuiga iga west ndio yanapelekea mambo ya upinde, safi sana Kiduku natamani Tanzania iige mwenendo huo. Unatoka zaKo Tabor unakuja Dar huna shughulo yoyote ya kufanya, baki kwenu ushiriki katika kuijenga Tabora yenu.
Wewe jamaa ujue hata wewe kama sio chuo usingekuja mjini maana huku ulikuwa Huna ndugu........jokes🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hawa ndugu wanafanya hivi kulinda tamaduni zao walizorithishwa.Na ndiomaana hutokuja sikia chochote kutoka kwao zaidi ya propaganda.
Shida ni wewe ulie ziacha tamaduni zako na kuzifua za wazungu kwa kisingizio cha Globalisation.
Na ndomaana asaivi mwanaume kuolewa kawaida ila si kwa KIDUKU
Rudi ukavae majani kama babu zako na uache kutumia smart phone maana aijatoka kwa mnyaaaazii
 

Pyongyang Sports Goods Factory​

Workers of the Pyongyang Sports Goods Factory in the DPRK strive to increase the production of “Taesongsan”-trademarked sports goods with high quality.
1690884002264.png


1690884016307.png


1690884033799.png


1690884054003.png


1690884066049.png
 
Pyongyang ndio makao makuu ya Geogreyeo toka kitambo sana haowezi kuwa ya kishamba kama mpiji magohe
Sema tuu marekani wana plopaganda
Wako vizuri ,westerners wanajaribu sana kutusadikisha kuwa hawa jama wana njaa kali,kwakuwa tu dunia imewatenga,lakini kiuhalisia inaonekana kuwa maisha yanaendelea na wako mbali sana.Kiufupi ni kuwa maisha bila ya kubanana haya maendeleo tutayasikia tu kwa wenzetu...
Westerners gani hao wanaotengeneza hizo propaganda? Mbona hata hizi taarifa na picha zipo kwenye medias na mitandao ya hao hao westerners?
 
Wewe jamaa ujue hata wewe kama sio chuo usingekuja mjini maana huku ulikuwa Huna ndugu........jokes🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hiyo ni sababubu ya msingi, kuna hawa wanaokuja njini wakaishia kuuza mihogo kwenye mabeseni na kuokota makopo.
 
Back
Top Bottom