Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
- Thread starter
- #81
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umefika lini huko NK hadi useme nchi ya kimaskini,je umaskini wao unalingana na wazee wa kuuza bandari?Hio nchi masikini ijenge wapi majengo ya kisasa kama hayo
Hatuchekani nao kumbuka awaruhusu kutoa habari mbaya kuhusu taifa lao ikiwemo ishu ya umasikini.Umefika lini huko NK hadi useme nchi ya kimaskini,je umaskini wao unalingana na wazee wa kuuza bandari?
Hauijui North KoreaHio nchi masikini ijenge wapi majengo ya kisasa kama hayo