Ijue Korea Kaskazini kwa Undani (Known Details of North Korea)

Ijue Korea Kaskazini kwa Undani (Known Details of North Korea)

Ni kweli kwamba sehemu za mjini jamaa wameendelea sana. Ila kwa vijijini ambako HAIRUHUSIWI. NARUDIA TENA; HAIRUHUSIWI KABISA kupiga picha kuna umasikini mkubwa. Picha zinazopigwa ni za maeneo mazuri mazuri tu tena kwa maelekezo. Ukikutwa umepiga picha sehemu zile mbaya mbaya, unaweza hata kunyongwa.

Shezia zao zinasema: Kuwa mwangalifu sana unapopiga picha. Ni kinyume cha sheria kupiga picha kitu chochote isipokuwa tovuti maalum za watalii wa umma . Omba ruhusa kila mara kwa mwongozo wako wa Korea Kaskazini kabla ya kupiga picha. Korea Kaskazini ina sheria kali kuhusu kile unachoweza kuleta nchini.
 
Sasa mzee unataka kijijini palingane na mjini? Hebu tuoneshe vijiji vya USA
 
Elimu ni muhimu sana. North Korea hakuna mjinga

1690917765955.png

🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
1690917838525.png
 
Ni kweli kwamba sehemu za mjini jamaa wameendelea sana. Ila kwa vijijini ambako HAIRUHUSIWI. NARUDIA TENA; HAIRUHUSIWI KABISA kupiga picha kuna umasikini mkubwa. Picha zinazopigwa ni za maeneo mazuri mazuri tu tena kwa maelekezo. Ukikutwa umepiga picha sehemu zile mbaya mbaya, unaweza hata kunyongwa.

Shezia zao zinasema: Kuwa mwangalifu sana unapopiga picha. Ni kinyume cha sheria kupiga picha kitu chochote isipokuwa tovuti maalum za watalii wa umma . Omba ruhusa kila mara kwa mwongozo wako wa Korea Kaskazini kabla ya kupiga picha. Korea Kaskazini ina sheria kali kuhusu kile unachoweza kuleta nchini.
Nchi nyingine Simone kijijini?
 
Wako vizuri ,westerners wanajaribu sana kutusadikisha kuwa hawa jama wana njaa kali,kwakuwa tu dunia imewatenga,lakini kiuhalisia inaonekana kuwa maisha yanaendelea na wako mbali sana.Kiufupi ni kuwa maisha bila ya kubanana haya maendeleo tutayasikia tu kwa wenzetu...
Msaada wa China wa chakula, mafuta, madawa, mbolea n.k kwa Korea Kaskazini ndio unaliwezesha taifa hilo kutoanguka mpaka sasa hivi.

Msaada mkubwa zaidi wa China nje ya nchi unaenda kwa Korea Kaskazini.
 
Uko tatizo liko sehemu hizi ........ndugu yako akireta tatizo la kuikimbia inchi shida na matatizo yote mtabeba familia yake nzima ............na kama ujazaliwa city centre huwezi kwenda kuishi......labda uwe na sababu maalumu tu labda kipaji au una akili sana ...........hilo ni taifa la kifara sana......hauluhusiwi kusherehekea birthday siku ambayo alizaliwa huyo kiduku au kufanya sherehe siku aliyofariki baba au babu yake kiduku........ni marufuku kuvaa jeans maana wanasema ni vazi lasmi la marekani na wakati marekani ni adui zao.............kuna mengi ya kiboya na kifara sana kuanzia kunyoa mpaka mitindo ya kimaisha ikiwemo kutozima radio muda wote huku kukiwa hakuna TV wala radio zinazo milikiwa na raia zote ni Mali ya serikali
Kuna wakati Television ya taifa ilionyesha mtangazaji wa habari analia kwa furaha kwa sababu mvua imenyesha siku ya kumbukumbu ya birthday ya baba yake Kiduku!
 
Hawa ndugu wanafanya hivi kulinda tamaduni zao walizorithishwa.Na ndiomaana hutokuja sikia chochote kutoka kwao zaidi ya propaganda.
Shida ni wewe ulie ziacha tamaduni zako na kuzifua za wazungu kwa kisingizio cha Globalisation.
Na ndomaana asaivi mwanaume kuolewa kawaida ila si kwa KIDUKU
Hujui chochote, umeshiba propoganda nyepesi tu.

Soma hivi utaelewa.

1. Escape from camp 14- Blaine Harden
2. In order to Live- Yeonmi Park
3.How I become North Korean
4.Without You there is no us- Suki Kim
5.The great Leader and the fighter pilot.
6. Nothing to Envy
7. North of DMZ
8.Dear Leader- Jang Jin Sung
9.The Cleanest Race
10.The Hidden people of North Korea.
 
Ingia YouTube, tafuta DW documentary ya inside North Korea utakubaliana na mtoa thread. Au tafuta documentary yoyote ya NK. Utakubali wale jamaa wako mbali sana, pamoja na kuwa labelled kuwa ni maskini in terms of GDP
Ni hapo juzi tu kati ya mwaka 1994-1998 North Korea ilikumbuwa na njaa ya kutisha "Arduous March" ambapo watu milioni 3 walikufa kwa njaa. Maelfu walikuwa wakijaribu kutoroka nchi hiyo kama ilivyokuwa kwa raia wa Zimbabwe, tofauti huko Korea Kaskazini wakikumata unataka kutoroka nchi wanakupiga risasi.

Uzuri madikteta huwa hayawezi kuficha njaa za raia waka na kuanguka kwa uchumi.
 
Umeandika uongo mtupu hata kuandika TU kunakufanya usiaminike.
Hebu ona.!

*Uko badala ya huko,
*Akireta badala ya akileta,
*Inchi badala ya nchi,
*Ujazaliwa badala ya hujazaliwa,
*Hauluhusiwi badala ya hauruhusiwi,
*Lasmi badala ya rasmi,

Mambo mengine ni Kila nchi iheshimu tamaduni za wengine.
Ndio USA ni adui wa NOko.

Sasa hebu fikiria kwa utamaduni wa USA ni ruksa kufanya mapenzi na mwanaume mwenzio ama kufanya mapenzi na mwanamke mwenzio.
Kwa hiyo unataka kusema NOKO waige tabia hii?
Maana yangu Noko wameamua kulifanya vazi la jinsi ni haramu kwani shida Iko wapi.?
Ushoga sio utamaduni wa USA ndio maana BRICS yote, Cuba, DRC, na nchi nyingine nyingi tu Ushoga upo, ni ruhusa na sio kosa kwa sheria za nchi.
 
Kuna watu ni wajinga sana ndugu,hata akiingia YouTube atakuambia ni picha zilizotengwnezwa ama taarifa feki.
Hawa ni watu hua wanameza propaganda bila kutafuta ukweli wa upande wa pili.

Noko sio nchi masikini,Bali ni nchi iloyotengwa kwa roho mbaya ili isiendelee lkn ndo ivo Tena vikwazo vinafunza kujitegemea.
Huko YouTube tafuta pia

North Korea famine
Escape from North Korea
Camp 14 North Korea
 
Back
Top Bottom