Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Ni Kama Zimbabwe ambavyo huwa wanaionyesha Harare tu.Hawa jamaa nchi nzima ina eneo moja tu Pyongyang ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni Kama Zimbabwe ambavyo huwa wanaionyesha Harare tu.Hawa jamaa nchi nzima ina eneo moja tu Pyongyang ?
Raia wote wa kawaida wanaotoroka Korea Kaskazini huwa wanakutwa na minyoo ya kutisha tumboni. Inakadiriwa watu milioni 5 wa Korea Kaskazini wanakabiliwa na tatizo la minyoo na sababu kubwa ni kusakura kama kuku wakitafuta chakula.Umefika lini huko NK hadi useme nchi ya kimaskini,je umaskini wao unalingana na wazee wa kuuza bandari?
Nusu ya msaada wa China nje ya nchi unaenda Korea Kaskazini.Duh,!! wanajitegemea kwa asilimia kubwa mnoo, naona vitu vingi wanajitengenezea wao wenyewe.
NAona wanajenga site kwa ajiri ya utalii wa pwani, kama hakuna watalii basi wasingejenga eneo kubwa kama hilo.
Nusu ya msaada wa China nje ya nchi unaenda Korea Kaskazini.North Korea ni kama wanaishi kwenye sayari Yao. Yale madudu wanayotestigi ni mabilioni ya pesa, nchi masikini haiwezi kuvutana na marekani.
Au Rwanda wanaonyesha kigaliNi Kama Zimbabwe ambavyo huwa wanaionyesha Harare tu.
Kweli kabisaNusu ya msaada wa China nje ya nchi unaenda Korea Kaskazini.
Kuna video moja NK soldier anavuka mpaka na kukimbilia SK alikuwa anatupiwa risasi kama njugu ila alisurvive.North Korea ni nchi mojawapo yenye raia watoroka nchi wengi zaidi duniani "defectors"
Wengi wao hukimbilia zaidi Korea Kusini kwa sababu nchi majirani za Urusi na China ni marafiki wa Kiduku hivyo ukikimbilia huko unarudishwa kunyongwa North Korea.
Taarifa karibia zote kuhusu North Korea hupatikana kupita raia wake wenyewe ambao ni defectors kama Hyeonseo Lee.Wako vizuri ,westerners wanajaribu sana kutusadikisha kuwa hawa jama wana njaa kali,kwakuwa tu dunia imewatenga,lakini kiuhalisia inaonekana kuwa maisha yanaendelea na wako mbali sana.Kiufupi ni kuwa maisha bila ya kubanana haya maendeleo tutayasikia tu kwa wenzetu...
[emoji115]mtoa mada hawa ndio werevu wako[emoji116]Elimu ni muhimu sana. North Korea hakuna mjinga
View attachment 2705539
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
View attachment 2705540
Kuna wakati Television ya taifa ilionyesha mtangazaji wa habari analia kwa furaha kwa sababu mvua imenyesha siku ya kumbukumbu ya birthday ya baba yake Kiduku!
Dah naikumbuka video hii, kuna nchi za 'hovyo' duniani, North Korea is one of them.Kuna video moja NK soldier anavuka mpaka na kukimbilia SK alikuwa anatupiwa risasi kama njugu ila alisurvive.
SK ina madefectors wengi wa NK kuna documentary nyingi zinaeleza hivyo.
Soma uzi mdogo wangu. Au unataka niweke vitu unavyovipenda? 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Mtoa mada rekebisha heading yako, badala ya North Korea isomeke Pyongyang, waombe mods wakurekebishie. Tunajua tofauti na Pyongyang hakuna sehemu nyingine ya maana.
Hii mbona nzuri, inakuaje utoke kwenu uje mjini huko kwenu kutajengwa na nani. Watu wabakie katika miji waliozaliwa washiriki katika ujenzi wa miji hiyo, unakimbilia mjini nani apeme maendeleo katika mji wako. N Korea wapo vizuri sana kama hizo ndio sera zao nawakubali. sana.na kama ujazaliwa city centre huwezi kwenda kuishi......labda uwe na sababu maalumu tu labda kipaji au una akili sana