desayi
JF-Expert Member
- Aug 27, 2017
- 3,593
- 5,848
Achana nae huyo chokoNafikiri Kuna sehemu una tatizo kidogo,sio Bure.
Noko Ingekua Haina kikwazo hata kimoja halafu ukaja na hoja kama hizo ningekuona una uwezo wa kufikiria.
Lkn Noko Iko kwenye vikwazo kwa miaka mara mbili ya umri wako lkn imetoboa.huoni ni ajabu hilo?
Maadui wa NOko wanatafuta Kila mbinu kuiumiza ndio maana nao wameweka sheria Kali kujilinda ,hulioni hilo?
Nasikitika kua hili litakua jibu langu la mwisho maana Mimi Sio mtu wa ligi.