Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Sisi ni masikini sawa lakini upuuzi wa NK bado hatujafika hata robo. Huyo dogo na familia yake sijui wakorea wa wapi ?!🚮 Jamii ya wakorea, wajapan na wachina ni smart sana lakini dogo na familia yake anafanya wakorea walio nchini kwake kuwa hopeless 🤡Kwani wewe ni raia wa nchi gani? Kwanini usijaribu kujiringanisha nchi yako na NK? Unaogopa nini?