Ni kweli kwamba sehemu za mjini jamaa wameendelea sana. Ila kwa vijijini ambako HAIRUHUSIWI. NARUDIA TENA; HAIRUHUSIWI KABISA kupiga picha kuna umasikini mkubwa. Picha zinazopigwa ni za maeneo mazuri mazuri tu tena kwa maelekezo. Ukikutwa umepiga picha sehemu zile mbaya mbaya, unaweza hata kunyongwa.
Shezia zao zinasema: Kuwa mwangalifu sana unapopiga picha. Ni kinyume cha sheria kupiga picha kitu chochote isipokuwa tovuti maalum za watalii wa umma . Omba ruhusa kila mara kwa mwongozo wako wa Korea Kaskazini kabla ya kupiga picha. Korea Kaskazini ina sheria kali kuhusu kile unachoweza kuleta nchini.