Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
- Thread starter
- #301
Workers of the Sosong Songdo Leather Shoes Workshop strive to make various forms of shoes favored by the people.
#DPRK #northkorea #Shoes
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes yule ni ndugu kama. Sisi tunavyojiita waafricaChina inaplay part kubwa sana kwenye maendeleo ya North Korea
Ndio nchi pekee ambayo inafanya naye biashara kwa kiasi kikubwa kwenye import na export
Unafikiri GDP ya Korea Kaskazini ni kiasi gani??Naisi bang unazokunywa zinakuchanganya
Korea ni ndugu wa karibu wa Japan, sio WachinaYes yule ni ndugu kama. Sisi tunavyojiita waafrica
China kuna jamii tofauti tofauti kabisa.Korea ni ndugu wa karibu wa Japan, sio Wachina
YouTube kuna takataka za kila aina, kumeja pumba na mchele. Tanzania imeizidi Korea ya Kiduku kwa GDP. Ni ukweli pia Korea Kaskazini imekuwa ikipewa msaada wa chakula na China, USA pamoja na Korea Kusini. Hata sasa hivi WFP inagawa msaada wa chakula katika eneo kubwa la nchi hiyo.Ingia YouTube, tafuta DW documentary ya inside North Korea utakubaliana na mtoa thread. Au tafuta documentary yoyote ya NK. Utakubali wale jamaa wako mbali sana, pamoja na kuwa labelled kuwa ni maskini in terms of GDP
NOKO si wapo na Sanctions inakuwaje tena WFP wakaingia NOKO.YouTube kuna takataka za kila aina, kumeja pumba na mchele. Tanzania imeizidi Korea ya Kiduku kwa GDP. Ni ukweli pia Korea Kaskazini imekuwa ikipewa msaada wa chakula na China, USA pamoja na Korea Kusini. Hata sasa hivi WFP inagawa msaada wa chakula katika eneo kubwa la nchi hiyo.
😂😆😅😀😃😃😂😆😆😄Hio nchi masikini ijenge wapi majengo ya kisasa kama hayo
Safi sana kwa jibu hili.NOKO si wapo na Sanctions inakuwaje tena WFP wakaingia NOKO.
Au unatuletea taarifa toka kwenye bichwa lako?