Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
- Thread starter
- #281
Website ya utalii ya North Korea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna magari Wala watu...wajamaa huwa mafundi Sana wa propaganda yaani uwongoPeople's New Street (Hwaseong district, 1st stage, 10,000 households)
View attachment 2704645
View attachment 2704646
View attachment 2704648
View attachment 2704649
Kwahiyo NK haina watu?Hakuna magari Wala watu...wajamaa huwa mafundi Sana wa propaganda yaani uwongo
Ndo ulivyoelewa hivyo!?Kwahiyo NK haina watu?
Kuna uzi mtu mmoja aliwahi kupost kuhusu kufanya kazi Vietnam, sasa nautafuta sijaupata kuna bidhaa nilikuwa nataka kutoka huko, sijui uko na experience yeyote ya Vietnam?Waganda ndio maana bidhaa zao ziko chini wengi wao huchukulia north korea na Vietnam hawafuati mkumbo wa sijui china mara wapi
Naisi bang unazokunywa zinakuchanganyaTanzania GDP ni USD bilioni 75 wakati Korea ya Kiduku ni USD billion 25.
North Korea ni mojawapo ya nchi masikini zaidi za Asia.