Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
- Thread starter
- #321
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
GDP siyo kipimo halisi cha maendeleo. Tanzania ina GDP kubwa kuliko Estonia, lakini kimaendeleo iko chini zaidi ya Estonia, India ina GDP kubwa kuliko UK lakini kimaendeleo UK yuko juu.Tanzania GDP ni USD bilioni 75 wakati Korea ya Kiduku ni USD billion 25.
North Korea ni mojawapo ya nchi masikini zaidi za Asia.
Mna nini nyinyi chakujilinganisha na north Korea?Hatuchekani nao kumbuka awaruhusu kutoa habari mbaya kuhusu taifa lao ikiwemo ishu ya umasikini.
Lakini wanaishi maisha magumu Sana Kama misukule hawachekani na sisi
Nikuulize swali huenda likawa nje ya mada ..are u Masonic?Wana JF leo nimeamua kuanza kuielezea North Korea. Kuna watu wengi sana wanaijua North Korea kwa mambo hasi(Negatives) kutokana na propaganda nyingi sana za watu wa magharibi. Nitaongelea yafuatayo:-
1. North Korea Infrastructure
2. Majengo marefu
3. Michezo na Utamaduni
4. Elimu
5. Kilimo, Uvuvi na Ufugaji
6. Usafiri na Usafirishaji
7. Ulinzi na Usalama
8. Madini na Misitu
9. Utalii
10. Maisha ya watu.
Jengo refu kuliko yote huko korea ya kazikazini linaitwa Ryugyong Hotel
Urefu: 330.02m
floors: 105
Ni la 12 kwa urefu duniani
Lilikamilika mwaka 2011
View attachment 2704550
Hili jengo ni jengo la 12 kwa urefu duniani likifuatiwa na jengo la Empire State Building la USA lenye floor: 102.
View attachment 2704558