Ijue Korea Kaskazini kwa Undani (Known Details of North Korea)

Shida Kuna watu Kila kitu Wanataka watafananishe na USA, we uko Tanzania hebu ifananishe Noko na tz wewe nimmarekani? Kila kitu Kizuri unafikiri kiko Marekani tu, Tananisha na nchi yako korea wako vizuri.
Tanzania GDP ni USD bilioni 75 wakati Korea ya Kiduku ni USD billion 25.
North Korea ni mojawapo ya nchi masikini zaidi za Asia.
 
Nafikiri Kuna sehemu una tatizo kidogo,sio Bure.
Noko Ingekua Haina kikwazo hata kimoja halafu ukaja na hoja kama hizo ningekuona una uwezo wa kufikiria.
Lkn Noko Iko kwenye vikwazo kwa miaka mara mbili ya umri wako lkn imetoboa.huoni ni ajabu hilo?
Maadui wa NOko wanatafuta Kila mbinu kuiumiza ndio maana nao wameweka sheria Kali kujilinda ,hulioni hilo?

Nasikitika kua hili litakua jibu langu la mwisho maana Mimi Sio mtu wa ligi.
mkuu hawa ndio vijana tulionao nchini, alafu utegemee tupate maendeleo kwa akili hizi ambazo cnn wamezichafua kweli?

haoni juhudi za noko, anaona ubaya tu..... ukimuuliza kwanini miji ya US imejaa watu homeless anaanza matusi
 
Watakunaji wote katika uzi huu ni mashabiki wa Kiduku.
 
U

Ungetuwekea na magar yanayopita njian ili tuone movement za raia. Hao jamaa wapo jela ukiacha kisingizio cha propaganda. Haiwezekan nchi nzima inapiganiwa ili familia ya Kim iwe madarakan.
Miji haina watu kabisa, mwamba anasema eti wana ratiba maalum. Ndo hata mtu mmoko aisee hata gari moja tu barabarani.
Picha nyingi hapa ni 3D sio halisi, zimeongezewa nakshi.
 
Huyu dogo mimi sina shida na urais wake uchwara a.k.a ufalme wa NK, hivi ameshindwa kuifungua nchi yake kiuchumi ishirikiane na dunia au hataki ?

Watu wa East Asia mimi nawaona kama watu wenye akili sana pia wachapakazi vibaya mno hao wachina, wajapan, wakorea naamini huyu dogo akiifungua nchi yake kiuchumi na kiushirikiano na dunia hiyo NK itakiambia hatari kimaendeleo.

Au dogo anaogopa wananchi wake wakiijua dunia ilivyo watarevolt? 🤡hata marafiki zake China na Russia hawapo hivyo kama yeye na nchi yake inshort huyu dogo ni kiboko😀
 
Kati ya Tz na NK nchi ipi raia wake wanaishi maisha ya hovyo?
Screenshot_20230802-143001.png
 
Kati ya Tz na NK nchi ipi raia wake wanaishi maisha ya hovyo?
View attachment 2706668
Nimeizungumzia TZ hapo au nimesema kuhusu East Asian na watu wake ?

Huyo dogo anaelezewa kutokana na asili ya jamii yake na jamii iliyo mzunguka East Asians kama hao China, SK, Japan, Singapore e.t.c hao ndio anaopaswa fananishwa nao.

Mbona wenzake wamempiga gape kubwa yeye bado anaendekeza ufala wa zama za giza hata waumme zake wanaomlea hao wachina hawana ufala kama wa huyo dogo na familia yake wanavyo iendesha NK
 
Kwani wewe ni raia wa nchi gani? Kwanini usijaribu kujiringanisha nchi yako na NK? Unaogopa nini?
 
Wako vizuri ,westerners wanajaribu sana kutusadikisha kuwa hawa jama wana njaa kali,kwakuwa tu dunia imewatenga,lakini kiuhalisia inaonekana kuwa maisha yanaendelea na wako mbali sana.Kiufupi ni kuwa maisha bila ya kubanana haya maendeleo tutayasikia tu kwa wenzetu...
Hujakosea be Stephot
 
Back
Top Bottom