Ijue kwa undani nchi ya Brunei ambako Raia hawalipi kodi ni kula bata tu

Ijue kwa undani nchi ya Brunei ambako Raia hawalipi kodi ni kula bata tu

uchumi wao upo juu GDP $ 30 billions per capital zaidi ya $ 60,000 wakat tz tupo chini ya $ 2000 maisha sio fair kabisa iv utaratibu wa kwenda huko upoje wakuu !!!
 
Nauli ni shilingi ngapi kufika huko? nimechoka kuishi kama shetani
Hahaha...mkuu, kufika brunei wala siyo issue kubwa kivile, though hakuna ubalozi wao hapo Tanzania kwa ajili ya kuomba visa. mpaka uende pretoria or abuja ambako ndo ubalozi wao ulipo kwa hapa Africa. Ukiwa hapa pretoria ni rahisi mno kwani kuna Royal Brunei Airline ambayo inafanya route zake from Brunei to Johannesburg via Istanbul-Turkey. uki connect ndege kutoka dubai, nauli ni kama dola 1850 USD....kazi kwako boss!!
 
wanadamu hata uwatendee mema kiasi gani hawanga shukrani, ona libya gaddafi aliwapa kila kitu lakini wananchi wameamua kurudi utumwani wenyewe, wameibomoa libya kwa mikono yao wenyewe
 
1d452384b91a1e481f73fd95deb1740e.jpg
 
people do live aseehh....!!!
lakini maisha hayo ya brunei hayatoshi
kutupa tafsiri halishi ya maisha kwa ujumla...
living itself is totally a complex issue....
 
Yah ndiyo kipindi hicho.
Wana prince wao mmoja bishoo sana kila birthday huwaalika wanamziki mashuhuri wa marekani na kuwalipa maela mengi.
Ashawahi kumwalika usher raymond akamlipa ela nyingi na kumpa viatu vimenakshiwa kwa almasi, mariah carley, paris hilton na wengine kibao.
Pia mfalme wa brunei aliwahi mkodishia kinyozi ndege toka uingereza aende kumnyoa nywele.

Aisee wana sifa kama Faru John[emoji23][emoji23]
 
Unachanganya mambo.

Jinni ni kiumbe ambae wapo wengine wao ni mashetani. Kama ilivyo kwa binaadam, wapo wengine ni mashetani.

Shetani si lazima awe ni katika majinni, wapo binaadam mashetani, mfano huyu mchungaji:

nigeria-abus-pasteur.jpg

Uyu wa kwanza ni wewe?
 
Back
Top Bottom