Kareem Lungu
Member
- May 6, 2016
- 33
- 4
jamani-eeee wengine turudi vijijini kwetu...mbona hata kule maisha ni mteremko!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahahahaha daahNi bora kuwa mbwa brunei kuliko kuwa mashetani Tanzania
Hahaha...mkuu, kufika brunei wala siyo issue kubwa kivile, though hakuna ubalozi wao hapo Tanzania kwa ajili ya kuomba visa. mpaka uende pretoria or abuja ambako ndo ubalozi wao ulipo kwa hapa Africa. Ukiwa hapa pretoria ni rahisi mno kwani kuna Royal Brunei Airline ambayo inafanya route zake from Brunei to Johannesburg via Istanbul-Turkey. uki connect ndege kutoka dubai, nauli ni kama dola 1850 USD....kazi kwako boss!!Nauli ni shilingi ngapi kufika huko? nimechoka kuishi kama shetani
Umeona mbali na iwe kwako kama ulivyoona. ...AMEN RAnchi yetu
changa mkuu tutafika tu huko .
Polepole ndoo mwendo.
Usijilaani. ...ni hatari kwa maisha yakoHuyo wa chini ujanja mwingi mbele giza na atabaki hivyohivyo na kiburi chake,
umekuja bongo kutafuta maisha?Mm ni mtu wa Brunei..hayo uliyosema ni ukweli mtupu
Yah ndiyo kipindi hicho.
Wana prince wao mmoja bishoo sana kila birthday huwaalika wanamziki mashuhuri wa marekani na kuwalipa maela mengi.
Ashawahi kumwalika usher raymond akamlipa ela nyingi na kumpa viatu vimenakshiwa kwa almasi, mariah carley, paris hilton na wengine kibao.
Pia mfalme wa brunei aliwahi mkodishia kinyozi ndege toka uingereza aende kumnyoa nywele.
Unachanganya mambo.
Jinni ni kiumbe ambae wapo wengine wao ni mashetani. Kama ilivyo kwa binaadam, wapo wengine ni mashetani.
Shetani si lazima awe ni katika majinni, wapo binaadam mashetani, mfano huyu mchungaji:
![]()
Uyu wa kwanza ni wewe?