Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 7,186
- 14,274
Naomba niwe chawa wako Bosi, niko chini ya miguu yako π€Sidhani kama Kuna nchi imeishinda China kwa mazingira mazuri ya kisasa na miundo mbinu.
Jamaa wameipatia nchi yao.
Labda huko sekta nyingine.
Jamaa wako serious sana na maendeleo yao.
Sisi tuko serious na maendeleo ya familia zetu once tukilamba ASALI
NI kweli, upo sahihi.Basi hauna ukijuacho kuhusu uchumi wa China mkuu
Hapa tuko pamojaNI kweli, upo sahihi.
Upo sahihi tenaHapa tuko pamoja
Weka 98 tu bhana, kasema majiji mengine yanafanana ila si kama yamejirudia mbali na hayo mawili tuAsante sana.
Basi tutaweka miji 96 tu.
ππ€Έπ πWewe unaona sisi watu weusi tupo sawa kabisa kichwani kama hao watu wengine ?
USA wana mradi wa kujenga staffs apartments 200, 000/= tangu miaka ya 1700, hawajawahi kuuacha na hawana mpango wa kuuacha.Ladha ya mijadala ni kutanua wigo wa kujadili ili kuogezeana maarifa, sasa inapokuja mtu anadadisi au anaongezea kitu ambacho hakimpendezi mwingine kwa kuwa yeye hataki iwe vile ilishakuwa ndiyo shida huanzia hapo.
Mfano, binafsi sikumbishia mleta mada, nikaenda mbele zaidi kuwa siyo China tu, hata Afrika ya sasa inajengeka kuliko maeneo mengi ya Ulaya na Marekani, ila kabla ya ku diss miondo mbinu ya wale, wengine tujiulize, je, SERA na Sheria zinasemaje?
Pia tuelewe, kuna wale walishajenga na hata sasa haiwapi shida kwanini waanze kujenga tena badala ya kufanya mengine?
Kingine kuna nchi zenyewe zinataka kusambaza watu katika maeneo mengi zaidi ya nchi zao kwa kuwa yapo empty, wakati nchi nyingine watu wake wanafurika mijini, hapo lazima ujenge maghorofa marefu kwa ajili ya makaazi na ofisi. Kuna factors nyingi tu. Pia kuna cultural issue.
Unaweza ukaleta hoja kama hii, lakini mwingine akaikataa kwa sababu inakwamishabkile alichokusudia. Hapo tunakuwa tunaufinya mjadala.