Namna dunia ilivyo ihiitaji watu wanyonge kabisa ukiwa mnyonge unatandikwa unaporwa mali yako hii ipo toka kale mpaka sasa na sioni ikikoma.
Qing dynasty ilivyokuwa dhaifu wajapan na Europeans wakawatandika na kuwatawala na kupora mali nayo Republic Of China ilivyokuwa dhaifu outer Mongolia ikajimegua kutoka China Republic Of China bado wanaidai kwa chini chini sasa hawa People's Republic Of China wao ndio hawataki yawatokee yaliyo watokea wenzao.
Hongkong kilikuwa kinaenda kunuka bila kudhibitiwa, Xinjiang napo, Tibet napo, Taiwan haiwezi chomoka. Baadhi ya maeneo ya Siberia yalirudishwa kwa hao wakomunisti baada ya wao kutandikana na wasovieti miaka ya mwisho ya 60 mpaka uhusiano wao na Usovieti kuyumba na China kuimarisha uhusinao na US miaka ya 70
Hawa jamaa wanachekesha sana waliamua kupigana marungu na India kisa border
View attachment 2754480