Mkuu ningekuwa sikufahamu sawa
Ila wewe ni mtu ambaye unachukia maendeleo ya China kitambo sana hapa jf
Sijaona hoja yoyote ya maana kwenye maelezo yako
Ona unapoenda, kumbe una comment siyo kwa kuelewa kilichoandikwa? Kumbe umemkariri mchangiaji?
Ndiyo maana umeacha kabisa barabara na kwenda mtaroni.
Kingine, wala usijidanganye kuwa nachukia maendeleo ya nchi fulani, mimi hizo akili mbovu na tabia za chuki huwa sina sina, zaidi hata katika maisha halisi huwa najifunza kutoka kwa walionizidi na niliowazidi.
Huwa sina mambo ya chuki, ila nina msimamo katika nikijuacho, na nisichokitaka. Hayayo yote watu wa aina yako huwa hamyaoni, uwezo wenu unaishia kuona chuki tu.
Yaani mimi nimchukie China?? Very funny, au kusema US Submarine ya China imetengenezwa kwa msaada mkubwa wa US na technology yao ndiyo kuichukia China?
Kukosoa ubora wa bidhaa za China kwa Af4ika au aina ya mikataba yake ambayo inampa nguvu ya kuichukua nchi ndiyo kuichukia?
Basi kama ndivy tufanye upo sahihi kuendelea kukariri kuwa mimi nina chuki.