Ijue Miji, Majiji na Miundombinu ya China - Je, Ulaya na Marekani imefunikwa?

China ina Watu wengi kuliko Africa nzima, kifupi China, USA na India ni kama Mabara, sometime ni uonevu kufananisha na Nchi.

Kwa Comparison nzuri vyema Ufananishe na Miji kama Cairo, Johannesburg, Lagos etc.
Singapore unaweza fananisha na nchi gani Afrika ?
 
We punguani unajua China amepata maendeleo lini lakini? Ulaya ni ulaya mzee ndo maana hamna mdenish au muingereza anauza mapazia na sabuni kama wachina kariakoo... kajifunze tena Acha ushabiki wa kichoko.
Una uhasira za nini ? Kama ni maendeleo China yameanza maelfu ya miaka huko wakati ulaya wanaua wachawi labda kama unazungumzia baada ya kuvurugwa na foreigners na kufufuka upya tena.

China ni taifa lenye historia ya miaka elfu lililo hai mpaka sasa.
 
Kwahiyo kupata uhuru 1776 ndo kuanza kwa maisha marekani sio? Nchi ina watu wa hovyo sana hii!
Dah!!! unauwezo kweli wa kujadiliana na mimi?
Hebu niambie kabla ya uhuru huo USA ilikuwa inaitwa jina gani?
 
Singapore unaweza fananisha na nchi gani Afrika ?
Singapore ni just 720sqkm? Ni kisehemu kidogo mno. Unaweza kitembea kwa miguu km 50 upana na km 20 urefu toka eneo moja hadi jengine.

Dar ambayo ni ndogo nayo ni zaidi ya 1500sqkm.

Ukifananisha Singapore na Johannesburg bado Singapore itakua nzuri ila gape sio kubwa tena kama Ukifananisha Singapore na Nchi XXX.
 
We punguani unajua China amepata maendeleo lini lakini? Ulaya ni ulaya mzee ndo maana hamna mdenish au muingereza anauza mapazia na sabuni kama wachina kariakoo... kajifunze tena Acha ushabiki wa kichoko.
Mzee umeshawahi kusoma Silk Road? Around 114 BCE – 1450s CE (Wakati huko ulaya bado wanakaa kwenye mashimo wachina wapiga biashara za kimataifa)

Sitaki nikuudhi bali nitakupatia elimu tu.

The Silk Road derives its name from the highly lucrative trade of silk textiles that were produced almost exclusively in China. The network began with the Han dynasty's expansion into Central Asia around 114 BCE through the missions and explorations of the Chinese imperial envoy Zhang Qian, which brought the region under unified control. The Parthian Empire provided a bridge to East Africa and the Mediterranean.

1695131108991.png
 
View attachment 2754845
China iko civilized kitambo sana ila shida wengi hawaijui historia yake.

Tatizo shuleni tunasoma historia ya Africa, Europe, America na Middle East

Hii imefanya wengi wasijue historia ya Far East Asia kama China
 
Singapore ni just 720sqkm? Ni kisehemu kidogo mno. Unaweza kitembea kwa miguu km 50 upana na km 20 urefu toka eneo moja hadi jengine.

Dar ambayo ni ndogo nayo ni zaidi ya 1500sqkm.

Ukifananisha Singapore na Johannesburg bado Singapore itakua nzuri ila gape sio kubwa tena kama Ukifananisha Singapore na Nchi XXX.
Usilazimishe battle mzee

1695131577916.png
 
Una uhasira za nini ? Kama ni maendeleo China yameanza maelfu ya miaka huko wakati ulaya wanaua wachawi labda kama unazungumzia baada ya kuvurugwa na foreigners na kufufuka upya tena.

China ni taifa lenye historia ya miaka elfu lililo hai mpaka sasa.
Acha upimbi kasome history vizuri China kaibuka lini na wapi... acheni utoto nyie mapimbi
 
China iko civilized kitambo sana ila shida wengi hawaijui historia yake.

Tatizo shuleni tunasoma historia ya Africa, Europe, America na Middle East

Hii imefanya wengi wasijue historia ya Far East Asia kama China
Miaka zaidi ya 3,000 iliyopita wachina wanavaa nguo huko ulaya wanatembea mat3ko wazi
 
Mzee umeshawahi kusoma Silk Road? Around 114 BCE – 1450s CE (Wakati huko ulaya bado wanakaa kwenye mashimo wachina wapiga biashara za kimataifa)

Sitaki nikuudhi bali nitakupatia elimu tu.

The Silk Road derives its name from the highly lucrative trade of silk textiles that were produced almost exclusively in China. The network began with the Han dynasty's expansion into Central Asia around 114 BCE through the missions and explorations of the Chinese imperial envoy Zhang Qian, which brought the region under unified control. The Parthian Empire provided a bridge to East Africa and the Mediterranean.

View attachment 2754845
Bado mtoto sana kakojoe ulale.... China wapo kwenye safari kuitafuta ilipo ulaya@
 
Kabla ya kufananisha unapaswa ujiulize hiyo miji ilijengwa lini na sera na sheria zao za ujenzi vipoje?
Unawwza ukaenda Zanzibar pale mji mkongwe ukaanza kusema ni pa kishamba na mji umekaa kizamani wakati pale panahitajika kuendelea kuwa vile na pana sera na sheria kabisa kuhakikisha hapaharibiwi muonekano wake.

Au, utarajie miji inayojengwa hivi sasa China na Afrika kwa teknolojia na ubunifu wa kisasa utaka kuifananisha na London ambayo hata mtu aliyefariki miaka ya 1800 huko akirudi leo hii hatapata shida sana kuutambua mtaa na nyumbani kwao.
Kati ya kitu nilichowavulia kofia Europe yote ni kujenga nyumba imara na kuziacha vilevile kwa sababu ya historia. Kuna sehemu mpaka zile barabara za mawe zipo na hawataki kuweka lami.
 
Weka evidences acha kutukana. Hapa tunaongea kwa facts
Nasikia hata kinyaa kwa unachobishia hapa.... ungekua kwenye darasa langu usingetoboa...

Nikueleze tu historia ya mapinduzi ya viwanda China ni fupi mno kulinganisha na Ulaya... china ni wa juzi juzi mno ndo maana raia wake wanaendesha kamari Afrika.
 
Miaka zaidi ya 3,000 iliyopita wachina wanavaa nguo huko ulaya wanatembea mat3ko wazi
Yule mfanyabiashara maarufu kutoka Italia Marco Polo miaka ya 1300s alienda China kupitia silk road

Alikuta tayari kuna mambo mengi China imeadvance na mengine aliyapeleka Ulaya kwa mara ya kwanza

Kuna mtu anakwambia hawana bajeti
Wengi hawajui. Wakitaka kujenga wanaweza ila wao wanahifadhi historia zaidi. Kusema kweli hata mimi sipendi sana kukaa kwenye miji kama hii ya China yenye mighorofa mirefu na kila kitu ni cha kisasa. Miji kama hii hunifanya nikachoka maisha ya mjini haraka.
 
Back
Top Bottom