Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Singapore unaweza fananisha na nchi gani Afrika ?China ina Watu wengi kuliko Africa nzima, kifupi China, USA na India ni kama Mabara, sometime ni uonevu kufananisha na Nchi.
Kwa Comparison nzuri vyema Ufananishe na Miji kama Cairo, Johannesburg, Lagos etc.