Duuh kwani mkuu unachoshindwa kuelewa hapo ni nini hasa, kwahiyo kabla ya Marekani kupata uhuru maana yake hilo bara halikuwa likiexist kisa tu halikujulikana linaitwaje au point yako ni nini, mfano kabla ya Mount Everest kugundulika na kupewa hilo jina maana yake haukuwepo kisa haukuwa na jina au
Hilo jina la USA ilipewa baada ya kupata uhuru lakini si kwamba kabla ya kupata uhuru hiyo nchi haikuwepo, only that ilikuwa ina jina lingine na tayari kuna watu walikuwa wanaishi na walikuwa na tamaduni zao, by the way USA kabla ya hilo jina ilikuwa inaitwa United Colonies kitu kama hicho maana yalikuwa ni makoloni tu ya waingereza
So kwa kifupi ni kwamba Marekani haikuanza kujengwa huo mwaka 1776, ilianza kujengwa way before haijajulikana na haijapata Uhuru, ni hilo jina tu ndio lina miaka 247 na siyo hiyo nchi wala baadhi ya miundombinu iliyopo ndani yake