Ijue Miji, Majiji na Miundombinu ya China - Je, Ulaya na Marekani imefunikwa?

Nasikia hata kinyaa kwa unachobishia hapa.... ungekua kwenye darasa langu usingetoboa...

Nikueleze tu historia ya mapinduzi ya viwanda China ni fupi mno kulinganisha na Ulaya... china ni wa juzi juzi mno ndo maana raia wake wanaendesha kamari Afrika.
Mzee hapa tunaongea kwa evidences. Nakusihi ulete ushahidi wa hiki unachokisema. Mapinduzi ya viwanda ya ulaya ni mwaka gani na uniambie China wameanza kutumia viwanda mwaka gani. Mbona simple tu?
 
Wengi hawajui. Wakitaka kujenga wanaweza ila wao wanahifadhi historia zaidi. Kusema kweli hata mimi sipendi sana kukaa kwenye miji kama hii ya China yenye mighorofa mirefu na kila kitu ni cha kisasa. Miji kama hii hunifanya nikachoka maisha ya mjini haraka.
China historia ipo na kujenga wanajenga. Acheni siasa za kushindwa mzee. Kwani Canada wanashindwa kujenga kwanini? USA je? wanazuia historia gani? Ulaya imekwama mzee.
 
Kati ya kitu nilichowavulia kofia Europe yote ni kujenga nyumba imara na kuziacha vilevile kwa sababu ya historia. Kuna sehemu mpaka zile barabara za mawe zipo na hawataki kuweka lami.
Majengo ya kale hata ukienda China yapo wameyatunza kwa ajili ya historia ya taifa lao

Mfano pale Beijing kuna forbidden city

Mengi wanayatumia kuigizia movies zenye maudhui ya kale na historical sites mengine hadi leo watu wanaishi

Inamaanisha China tayari ilikuwa imedevelop kwenye civil engineering kitambo sana
 
Majengo ya kale hata ukienda China yapo wameyatunza kwa ajili ya historia ya taifa lao

Mfano pale Beijing kuna forbidden city

Mengi wanayatumia kuigizia movies zenye maudhui ya kale na historical sites mengine hadi leo watu wanaishi
Halafu kwa kuongezea China kuna Great Wall bado ukuta upo na haujavunjwa. Wasitafute sababu.

Several walls were built from as early as the 7th century BC, with selective stretches later joined by Qin Shi Huang (220–206 BC), the first emperor of China.

1695132472968.png
 
Dah!!! unauwezo kweli wa kujadiliana na mimi?
Hebu niambie kabla ya uhuru huo USA ilikuwa inaitwa jina gani?
Duuh kwani mkuu unachoshindwa kuelewa hapo ni nini hasa, kwahiyo kabla ya Marekani kupata uhuru maana yake hilo Bara halikuwa likiexist kisa tu halikujulikana linaitwaje au point yako ni nini, mfano kabla ya Mount Everest kugundulika na kupewa hilo jina maana yake haukuwepo kisa haukuwa na jina au

Hilo jina la USA ilipewa baada ya kupata uhuru lakini si kwamba kabla ya kupata uhuru hiyo nchi haikuwepo, only that ilikuwa ina jina lingine na tayari kuna watu walikuwa wanaishi na walikuwa na tamaduni zao, by the way USA kabla ya hilo jina ilikuwa inaitwa United Colonies kitu kama hicho maana yalikuwa ni makoloni tu ya waingereza

So kwa kifupi ni kwamba Marekani haikuanza kujengwa huo mwaka 1776, ilianza kujengwa way before haijajulikana na haijapata uhuru, ni hilo jina tu ndio lina miaka 247 na siyo hiyo nchi wala baadhi ya Miundombinu iliyopo ndani yake
 
Halafu kwa kuongezea China kuna Great Wall bado ukuta upo na haujavunjwa. Wasitafute sababu.

Several walls were built from as early as the 7th century BC, with selective stretches later joined by Qin Shi Huang (220–206 BC), the first emperor of China.

View attachment 2754863
Hakika mkuu mpaka leo civil engineers wa West wanastaajabishwa na teknolojia walikuwa nayo China ukizingatia ukuta huo ulijengwa miaka 2500 iliyopita na ni imara mpaka leo bado upo
 
Duuh kwani mkuu unachoshindwa kuelewa hapo ni nini hasa, kwahiyo kabla ya Marekani kupata uhuru maana yake hilo bara halikuwa likiexist kisa tu halikujulikana linaitwaje au point yako ni nini, mfano kabla ya Mount Everest kugundulika na kupewa hilo jina maana yake haukuwepo kisa haukuwa na jina au

Hilo jina la USA ilipewa baada ya kupata uhuru lakini si kwamba kabla ya kupata uhuru hiyo nchi haikuwepo, only that ilikuwa ina jina lingine na tayari kuna watu walikuwa wanaishi na walikuwa na tamaduni zao, by the way USA kabla ya hilo jina ilikuwa inaitwa United Colonies kitu kama hicho maana yalikuwa ni makoloni tu ya waingereza

So kwa kifupi ni kwamba Marekani haikuanza kujengwa huo mwaka 1776, ilianza kujengwa way before haijajulikana na haijapata Uhuru, ni hilo jina tu ndio lina miaka 247 na siyo hiyo nchi wala baadhi ya miundombinu iliyopo ndani yake
Unatakiwa sasa uniambie kabla ya huo uhuru kitu gani kilikuwa kimejengwa Marekani.
Tunajua China miaka zaidi ya 2,000 iliyopita ilikuwepo na zipo Evidences za existence yake:-
1. Great Wall
2. Silk Road

Tuambie sasa kuhusu USA. Je, kabla ya uhuru huo kulikuwa na nini?
 
China historia ipo na kujenga wanajenga. Acheni siasa za kushindwa mzee. Kwani Canada wanashindwa kujenga kwanini? USA je? wanazuia historia gani? Ulaya imekwama mzee.
Hili siyo ajabu kwa sababu wabongo mambo kama haya wanapenda ligi. Hili la ligi za namna hii ndiyo pekee analoliweza m'bongo. Mimi Asia nimefika na naijuana Europe nimefika na naijua. Asia miji yao ni mizuri sana na karibu sehemu zote ni za kisasa. Europe miji yao karibu sehemu nyingi ni ya kizamani. Lakini hawajashindwa kujenga. Sehmu kama nchi za Scandivia hawapendi sana ghorofa ndefu na mara nyingi nimeshuhudia wananchi wakipinga ujenzi wa gharofa ndefu. Quality ya maisha, sheria, mifumo nk China bado wako chini sana.
 
Unatakiwa sasa uniambie kabla ya huo uhuru kitu gani kilikuwa kimejengwa Marekani.
Tunajua China miaka zaidi ya 2,000 iliyopita ilikuwepo na zipo Evidences za existence yake:-
1. Great Wall
2. Silk Road

Tuambie sasa kuhusu USA. Je, kabla ya uhuru huo kulikuwa na nini?
Mkuu kwani hapa tunaongelea landmarks pekee au na miundombinu mingine ya kawaida, what if Marekani haikuwa na landmark yoyote ya Maana kama hizo Great Wall and co kabla ya uhuru, lakini ilikuwa na miundombinu mingine ya kawaida ambayo ndio hiyo tunayosema kwamba ilijengwa zamani way before its independence
 
Hili siyo ajabu kwa sababu wabongo mambo kama haya wanapenda ligi. Hili la ligi za namna hii ndiyo pekee analoliweza m'bongo. Mimi Asia nimefika na naijuana Europe nimefika na naijua. Asia miji yao ni mizuri sana na karibu sehemu zote ni za kisasa. Europe miji yao karibu sehemu nyingi ni ya kizamani. Lakini hawajashindwa kujenga. Sehmu kama nchi za Scandivia hawapendi sana ghorofa ndefu na mara nyingi nimeshuhudia wananchi wakipinga ujenzi wa gharofa ndefu. Quality ya maisha, sheria, mifumo nk China bado wako chini sana.
Mzee Ulaya mimi nimeishi pia na huko Asia vilevile
Ukiongelea historia Beijing ni ya zamani zaidi kuliko miji yote ya ulaya.
Beijing imeanza kujengwa mwaka 1045 BC. Huku London ikianza kujengwa mwaka 43 AD na Roman. Piga hesabu hapo ni miaka 1002 ndio London inazaliwa

Halafu miji ya ulaya unayoiona hiyo mingi imejengwa miaka ya 1500 AD +

But hebu twende sasa huko China mfano beijing kuna haya:-

Forbidden City mwaka 1406 to 1420​

1695134515888.png

Temple of Heaven 1406–1420​

1695134589748.png

Summer Palace mwaka 1153​

1695134689489.png
 
Maendeleo ya china yametokana wa uwekazaji mkubwa wa makampuni ya western nchini china.

China inastahili pongezi Kwa kusimamia uchumi wa nchi yake.

CCM mnalakujifunza, nyie mlikijenga chama wee inchi imekuja kuwashinda🤣
 
Mkuu kwani hapa tunaongelea landmarks pekee au na miundombinu mingine ya kawaida, what if Marekani haikuwa na landmark yoyote ya Maana kama hizo Great Wall and co kabla ya uhuru, lakini ilikuwa na miundombinu mingine ya kawaida ambayo ndio hiyo tunayosema kwamba ilijengwa zamani way before its independence
Sasa hiyo miundombinu ya kawaida tunataka uitaje hapa mzee. Mbona shida kutaja.
 
Sio miji mizuri tuu, hata technology China wako vizuri na inaonekana wako mbele ya hizi western countries ingawaje media zao zinaendelea kudanganya, US anaelekea kuwa legacy tuu lakini real superpower ni China
 
Mzee Ulaya mimi nimeishi pia na huko Asia vilevile
Ukiongelea historia Beijing ni ya zamani zaidi kuliko miji yote ya ulaya.
Beijing imeanza kujengwa mwaka 1045 BC. Huku London ikianza kujengwa mwaka 43 AD na Roman. Piga hesabu hapo ni miaka 1002 ndio London inazaliwa

Halafu miji ya ulaya unayoiona hiyo mingi imejengwa miaka ya 1500 AD +

But hebu twende sasa huko China mfano beijing kuna haya:-

Forbidden City mwaka 1406 to 1420​

View attachment 2754947

Temple of Heaven 1406–1420​

View attachment 2754950

Summer Palace mwaka 1153​

View attachment 2754951
Those are isolated places. It is like visiting museums located in different parts of the city. In the Europe most of the cities are intact and preseved. It is like visiting them in those old days. I am talking about skyline.
 
Kwahiyo umehamia kwenye kuandika kingereza. Andika kiswahili acha mbwembwe.
Kama kwa Ukongwe Beijing ni ya zamani kushinda miji yote ya ulaya. Ulaya imepigwa dole na China
 
Sasa hiyo miundombinu ya kawaida tunataka uitaje hapa mzee. Mbona shida kutaja.
Duuh mkuu kwani miundombinu ya kawaida yote huwa ina majina specific, wewe unaweza ukafahamu majina ya miundombinu yote ya hapa Tanzania kuanzia majengo, nguzo, barabara, madaraja nk au unaandika kwa kukariri, Marekani ilikuwa na miundombinu mingi kabla ya uhuru na inaweza kuwa zilikuwa office, makazi ya watu na hivyo vingine nilivyovitaja hapo juu je hivyo wewe unaweza kunitajia kwa majina specific
 
Mzee mbona unapata kigugumizi jambo dogo tu hili. Basi kama umeshindwa acha
 
Acha kurukaruka jibu swali, kwanza unafahamu maana ya miundombinu, maana nisije kuwa nahangaika kujadili na mtu ambaye yeye anafikiri miundombinu ni kina Great wall of China tu
 
Back
Top Bottom