Ijue Miji, Majiji na Miundombinu ya China - Je, Ulaya na Marekani imefunikwa?

Ijue Miji, Majiji na Miundombinu ya China - Je, Ulaya na Marekani imefunikwa?

Mji gani ulaya umejengwa miaka 500. Utaje. Tangu Marekani apate uhuru mpaka leo hii ni miaka 247. Marekani alipata uhuru July 4, 1776
Umeshindwa kuielewesha akili yako kutokana na hiyo miaka 500?.
 
Mkuu, ukiongelea nchi kuwa founded/kupata Uhuru basi hata China ni ya 1912. Sidhani kama umemjibu sahihi, maana hata Tanzania historia yake haianzii 1963, bali ni mbali zaidi hapo.
Mkuu uwezo wa vijana kuchambua tuliondoka nao sisi wazee, usimpe ujuzi.
Kuna Rumi, Ugiriki, Visigoths(German), Zote hizi zilikuwepo enzi za 500 AD, ila ukitafuta lini zilikua found utaona ni miaka ya hivi karibuni.
 
Singapore ni just 720sqkm? Ni kisehemu kidogo mno. Unaweza kitembea kwa miguu km 50 upana na km 20 urefu toka eneo moja hadi jengine.

Dar ambayo ni ndogo nayo ni zaidi ya 1500sqkm.

Ukifananisha Singapore na Johannesburg bado Singapore itakua nzuri ila gape sio kubwa tena kama Ukifananisha Singapore na Nchi XXX.
Kwa hiyo tatizo sio udogo wala ukubwa ila tatizo ni nini sasa niambie ?
 
Those are isolated places. It is like visiting museums located in different parts of the city. In the Europe most of the cities are intact and preseved. It is like visiting them in those old days. I am talking about skyline.
China was a whole civilization sio museums tuu or some isolated places kama unavyosema, ni ya zamani kuliko hizi Western countries kwa maelfu ya miaka
 
Danyang–Kunshan Grand Bridge​

The Danyang–Kunshan Grand Bridge is a 164.8-kilometre-long viaduct on the Beijing–Shanghai High-Speed Railway. It is the longest bridge in the world.

1695207259595.png

1695207286718.png
 
Kabla ya kufananisha unapaswa ujiulize hiyo miji ilijengwa lini na sera na sheria zao za ujenzi vipoje?
Unawwza ukaenda Zanzibar pale mji mkongwe ukaanza kusema ni pa kishamba na mji umekaa kizamani wakati pale panahitajika kuendelea kuwa vile na pana sera na sheria kabisa kuhakikisha hapaharibiwi muonekano wake.

Au, utarajie miji inayojengwa hivi sasa China na Afrika kwa teknolojia na ubunifu wa kisasa utaka kuifananisha na London ambayo hata mtu aliyefariki miaka ya 1800 huko akirudi leo hii hatapata shida sana kuutambua mtaa na nyumbani kwao and they are proud.
Naunga mkono hoja 👍👍👏👏 na ndo nchi yenye wanawake watamu sana
 
Mji uliojengwa miaka 500 huko huwezi linganisha na mji uliojengwa jana, bado old city utakuwa best sababu angalia muda na wakati ndipo utaona why this.

Miji mingi ya Uchina ninya kale kweli isipokuwa miongo ya karibu waliamua kubomoa miji ya kale (hutong) isipokuwa historical sites na kuanza kujenga modern cities ili wakimbizane na USA
 
Naunga mkono hoja 👍👍👏👏 na ndo nchi yenye wanawake watamu sana
Wana highest sex drive, ndiyo inayopelekea watu kuwa turned on crazily na kuwaona watamu.
Wakiamua kukukamata hata ukiwakata kucha, au ukiwachana nywele au hata ukiwa ukiwashika mkono uwasalimia ukiwafuta vumbi kwenye viatu watatoa mguno wa mahaba na kujilegeza hadi ufepo kidogo
 
Kabisa nilikula moja mwaka juzi paka nilijilamba watamu sana alafu wanamvuto sana wako fresh sio wabinafsi wakipenda wanapenda kweli
 
Wana highest sex drive, ndiyo inayopelekea watu kuwa turned on crazily na kuwaona watamu.
Wakiamua kukukamata hata ukiwakata kucha, au ukiwachana nywele au hata ukiwa ukiwashika mkono uwasalimia ukiwafuta vumbi kwenye viatu watatoa mguno wa mahaba na kujilegeza hadi ufepo kidogo
Nilikaa sana wuhan kipindi cha corona ndo nikarudi zangu bongo
 
Miji mingi ya Uchina ninya kale kweli isipokuwa miongo ya karibu waliamua kubomoa miji ya kale (hutong) isipokuwa historical sites na kuanza kujenga modern cities ili wakimbizane na USA
Yeah, hiyo ya pichani mingi ni down towns or business centres.
Mfano tu ule mji wa Luzhou, umejengeka vyema sana, lakini mitaa yake ni ya kawaida tu kama hii👇👇
Screenshot_20230919-153814_Google.jpg
Screenshot_20230919-153752_Google.jpg

Screenshot_20230919-153728_Google.jpg
Screenshot_20230919-153711_Google.jpg

Wakat busine centresPosta ya imejengwa hivi👇👇

Screenshot_20230920-142431_Google.jpg
Screenshot_20230920-142504_Google.jpg
Screenshot_20230920-142714_Google.jpg
Screenshot_20230920-142317_Google.jpg
Screenshot_20230920-142731_Google.jpg
 
Back
Top Bottom