Ijue mipaka ya kimamlaka kwenye video ya mzozo wa mwanajeshi na trafiki wa usalama barabarani inayosambaa mitandaoni

BUSARA ilikosekana! TRAFIKI naye kisheria hatakiwi kuogopa hasa akiwa yuko sahihi kisheria!
 
Kwanini askari wote "Haloo" wao huitamka "Aroo"🤣🤣
 
unawezampa hata mpa hadhi ya kamishna wa polisi,sawa tu ukitaka.

ila akijichanganya ndio haya ya kufokewa na contable wa polisi kama mtoto,maana hajui mipaka yake.
WENGI Hawaijui sheria ya usalama! TRAFIKI wakiamua wanaweza kamata na kusweka lupango Mwanajeshi akivunja sheria ya usalama barabarani
 
kwani kwenye hiyo basi mwanajeshi alilipa nauli?
 
kwani kwenye hiyo basi mwanajeshi alilipa nauli?
Sheria inampa free afisa wa jeshi ya kutokulipa akiwa kavaa sare, lakini kwa hiari yake anaweza kulipa nauli!
Lakini hawatakiwi kupanda zaidi ya maafisa wanne kwa pamoja, lasivyo watakaozidi wanatakiwa kulipia nauli
 
tatizo wanajeshi wanatupunja awalipi nauli kwenye daladala tena nauli yenyewe 500 tu mroco rugaro
 
Nchi haifanyaki kazi hivyo mzee
 
kwanza awalipagi nauli hawa makongo kawa sh 500 lakini hawalipi kabisa na wako tayali kumpiga konda kisa 500 tu
 
Kanuni ni kila mmoja aheshimu mamlaka ya mwenzake kwa namna hiyo Kwakuw hatujaon mwanzo mwisho kifup ni busura imekosekan kwakuw kanuni na sheria za utumish zinahitaji nidhamu kwa kila mamlaka has inapokuw katk eneo lake la kazi.
"Ukweli ni kuwa hiyo ni mfano wa chuki iliyomo baina ya Polisi na JWTZ. Kuna mmoja anamwona mwenzake hamnazo alafu mwingine anamuona mwenzake wa kawaida.
 
Mwamba kaelezea vzr hapo juu
 
Nazan kiufup moja moja bila kujua chanzo nazan huyu mwanajeshi atakuw amekosea kwa kumuingiria Trafik akiw katk majukumu yake ya kikaz ni kinyum na sheria

Na kama hvyo hatua stahik zichukuliw kat yao za kikaz na za kimahakam ili kuw na uwajibkaj
 
umeona anauliza,utanifanya nini??akimaanisha sasa mstari wa staha kashauvuka hata kumkwida anaweza kama ataropoka upuuzi tena.
wapo tarafiki wako vizuli niliona siku 1 mjeda anaendesha noh kapakia abiria kinyme na kawaida akapigwa mkono akagomo tarafiki akamfuata na pikipki akamkuta huyo mjeda akajitia ujuaji wake mboda mjeda aliminywa tukaingilia kati mjeda akasema nipelekeni kwa mkuu wa wilaya tukawaamua huyo mjeda alikuwa anatoka chita wapo polisi wako vizuli usipime ndugu tena yule tarafiki hana makuu na mtu akionya mala ya kwanza ya 2 faini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…