Ijue mipaka ya kimamlaka kwenye video ya mzozo wa mwanajeshi na trafiki wa usalama barabarani inayosambaa mitandaoni

Huo unaweza kuwa unaa,video yenyewe haieleweki,hapo inawezekana mpandisha video akalazimishwa cheo,na pia za kwake zikitafutwa huenda kawahi gerezani mwenye hata kabla ya kupanda kizimbani,kwani huenda hapo kero imetokana kutaka kulazimisha mlungula hata kuwakera abiria hata akajitokeza wa kuwatetea🤔
 
sasa swala la kusimama tu na kushuka kuongea na askari inachukua dkk ngapi[emoji38][emoji38].

na ukiona askari kelele na pilika nyingi ujue hajiamini.
 
Katika maisha naamini tu kitu kimoja muhimu kuwa Kila kazi ni mhimu kwa Kila anayeitenda pia heshima huwa ni kitu mhimu sana katka kujali utu,haki na uwajibikaji,hapo Ndo utajua kuwa ata Kama una cheo lazima tu uzingatie haya kwa haya maisha ya duniani,sitaki kuukumu yoyote apo
 
Nikuulize, wewe ni mwanajeshi? Au mwanasheria, why unaongea vitu vua assumption. Wanajeshi always akili zao zipo kwenye unyayo huwa hawawapendi police, video imeanza kwa kuonyesha trafik akituknwa na trafic ana busara kubwa sana akaanza kutafuta ushahidi kwa kumuuliza mjeshi mm ni paka? Alivo mjinga akarudia tena kusema trafik ni paka. So mwanajeshi ndo mwenye kosa na ningekuwa mm bus zima lingeenda central na mjeshi tungebaki naye wenzake waje kumchukua pale akaadhibiwe kwa taratibu za jeshi letu
 
Wapo wanaokera kama vile kunguru mweupe anavyokera,ukizubaa amekwiibia,hata mabarabarani hali iko hivyo,najua madereva wanajua sana haya,au abiria waliokuwa busy na serious na mambo yao🤔
 
Hapo hamna kesi yoyote hapo mzozo umeisha ndio imetoka hio
 
Hao traffic ni mende au Panya tena Hilo paka Lina afadhari, hawafai hao wajinga, unajua huyo mwanajeshi ameona nini Kwa traffic? Hio imeisha haina mjadala lipaka limeruhusa gari iende basi
 
Hao traffic ni mende au Panya tena Hilo paka Lina afadhari, hawafai hao wajinga, unajua huyo mwanajeshi ameona nini Kwa traffic? Hio imeisha haina mjadala lipaka limeruhusa gari iende basi
Hahah
 
Eti paka pana muda unaona hajakosea jamaa wanaonea sana watu aisee...utadhani Dunia wameibeba wao pana muda wanataka utengeneze tabasamu feki vima sana wale jamaa...yaani kukuchapa fine bila sababu yeyote kwao sawa tuu..
 
Ndo sheria inawabeba
 
Hii ina uhusiano gani na kuvunja sheria? Tatizo kubwa la majeshi yetu ni kutokujua sheria za nchi. Nje ya hizi sheria hawajui hata wao ni watu wa kawaida sana.
 
Staff sergeant wa JWTZ ana hadhi zaidi ya mrakimu wa jeshi la polisi, yaani yule afisa mwenye nembo ya bibi na bwana
Kwani staff sergeant wa jw naye ni commission au other rank[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Sasa kama other rank hiyo hadhi unayosema inatoka kwenye sheria gani?

Kama unaizungumzia officer aliye zaidi ya nyota tatu kule police yaani Gazetted officer ni mdogo! Umetumia sheria ipi?

Mbwanjuwanju mbwanjuwanju usiwe kama mabaka nguvu nyingi akili kisoda
Bora kule kule, za kubrashia viatu zipo[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Hii ina uhusiano gani na kuvunja sheria? Tatizo kubwa la majeshi yetu ni kutokujua sheria za nchi. Nje ya hizi sheria hawajui hata wao ni watu wa kawaida sana.
Ikikosea unaruka kichura inaisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…