Ijue mipaka ya kimamlaka kwenye video ya mzozo wa mwanajeshi na trafiki wa usalama barabarani inayosambaa mitandaoni

Kama hawakurushiana mkono, huwezi jua, nani yupo vizuri, Wajuzi wa ngumi ama karateka huwa hawapigani bali kwa kujitetea.
 
Hao traffic ni mende au Panya tena Hilo paka Lina afadhari, hawafai hao wajinga, unajua huyo mwanajeshi ameona nini Kwa traffic? Hio imeisha haina mjadala lipaka limeruhusa gari iende basi

mwanajeshi aliye timamu ni yule mtulivu wakati wa taharuki,kama ameona kosa kwa traffic-anamzidi cheo,umri na hata sauti mbele ya mkuu wa kituo.

alipaswa akatolee mashtaka huko,hupo alikuwa karibu sana na kuchezea makofi,maana kwa umri wake asingemmudu traffic,ndio maana kaulizwa utanifanya nini kakaa kimya.

ukikosa heshima kwa mtu,usitegemee ikurudie.
 
Eti paka pana muda unaona hajakosea jamaa wanaonea sana watu aisee...utadhani Dunia wameibeba wao pana muda wanataka utengeneze tabasamu feki vima sana wale jamaa...yaani kukuchapa fine bila sababu yeyote kwao sawa tuu..

fine ya bila sababu usikubali omba kwenda mahakamani.

otherways hiyo ni halali,na umeiona ila unataka kurushiwa shuka.
 
Mmh
 
Hii ina uhusiano gani na kuvunja sheria? Tatizo kubwa la majeshi yetu ni kutokujua sheria za nchi. Nje ya hizi sheria hawajui hata wao ni watu wa kawaida sana.
jeshi lipo above kila kitu wao ndo wanajiita wenye nchi... maana kwenda ikulu ni dakika 0
 
Haa Bila Kujari Imembeba Nani? Umesikia Wapi? Hii
 
Acha upuuzi ni jukumu la Traffick kusimamia usalama barabarani,Mwanajeshi hana hiyo taaluma na atulie..
 
Sheria inampa free afisa wa jeshi ya kutokulipa akiwa kavaa sare, lakini kwa hiari yake anaweza kulipa nauli!
Lakini hawatakiwi kupanda zaidi ya maafisa wanne kwa pamoja, lasivyo watakaozidi wanatakiwa kulipia nauli
Sheria za kipuuzi hizi
 
Lakini staff sergeant anaonekana yupo njwiii na analeta unaa😆😆
 
fine ya bila sababu usikubali omba kwenda mahakamani.

otherways hiyo ni halali,na umeiona ila unataka kurushiwa shuka.
Mi mtata mkuu naweza kupitisha muda mrefu na nisipigwe fine gari Iwe na kosa gani labda wanikamate mwendokasi vile vitu vyao wanavyokagua kila siku vipo anabaki kukuambia nenda tuu..
 
Duuh bongo hakuna dogo, kavideo kafuuupi ila message sasa ... hongera mkuu kwa kuandika
 
Kuna mtu amejibu vizuri sana kuwa mjeda ni mkubwa ki cheo hivo trafik alitakiwa kutia adabu huyu ndo kanipreempty kabisa
 
polisi wa barabarani hawana adabu, mara nyingi huomba rushwa sana na kusahau kiichowapeleka barabarani hao..ni PAKA KWELI WALA SI UONGO
Uwepo wao barabarani kunahashiria rushwa TU hakuna jingine, Wanaongeza usumbufu, wangeacha taa zifanye kazi
 
Japo hatuwapendi matrafiki lakini hapo ni sehemu ya kazi yake, yeyote atakayemuingilia katika kazi iwe kwaajili ya kumuelekeza tu na si kumfokea. Mnyonge mnyongeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…