Ijue mipaka ya kimamlaka kwenye video ya mzozo wa mwanajeshi na trafiki wa usalama barabarani inayosambaa mitandaoni

Nimeshangaa sana kuona staff sergeant anaongea namna ile. Kati ya seniors wanaolijua jeshi basi yeye yupo kwenye list lakini ameact kama private aliyepata ajira juzi.
 
WENGI Hawaijui sheria ya usalama! TRAFIKI wakiamua wanaweza kamata na kusweka lupango Mwanajeshi akivunja sheria ya usalama barabarani

Trafiki kazi yake sio KUKAMATA ni kusimamia sheria hili neno kukamata ndio linafanya hata kosa liwe la maelekezo wanaanza usumbufu wa hela
 
Staff sergeant wa JWTZ ana hadhi zaidi ya mrakimu wa jeshi la polisi, yaani yule afisa mwenye nembo ya bibi na bwana
... trafiki alikuwa anatekeleza sheria mzee. Mambo ya nani mwenye hadhi zaidi labda baa huko wakigombea mabaa medi!
 
Kaka hiyo video lazima iwe hivyo hivi unadhani mjeshi akikugungua unamrekod itakuwa?
 
Nchi ngumu sana hii...yaani kuna chawa, paka, panya wa barabarani aka panya road, mbwa, nk nk...
I see! Kazi kwelikweli
 
Nan hamnazo na nan ni wakawaida mbona kama zote hizo ni sifa za paka?
 
Sheria inampa free afisa wa jeshi ya kutokulipa akiwa kavaa sare, lakini kwa hiari yake anaweza kulipa nauli!
Lakini hawatakiwi kupanda zaidi ya maafisa wanne kwa pamoja, lasivyo watakaozidi wanatakiwa kulipia nauli
Sheria hii ipo Applicable kwa majeshi yote provided umevaa Uniform tu
 
Huenda, inawezekana na assumptions nyingi sana kwenye uzi wako
 
Nasisi Magereza tupo msitushau
 
Una shida kichwani mkuu??
Mkuu hayo mambo yako wazi vingi tunafichwa....

bajeti ya jeshi ushawai ona inajadiliwa.. pesa kule inatembea ndefu kupunguza hizi tamaa za madaraka... la sivyo saiv ungesikia Mapinduzi kitambo tuu... 2015... Baba mwenye nyota nyingi alipoweka msimamo wake.. palinuka mbonaa...

baada ya mwenda zake kwenda.. asingesimama kidede mwenye nyota zake bashiru angekuwa Rais wako saivi bisha kataa ila Jeshi ndo lina nchi ni vile kuna amani.. na hujasikia mapinduzi kitambo... unaona kama wao wapo tuu hawana lolote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…