musicarlito
JF-Expert Member
- Dec 29, 2020
- 591
- 909
Bila picha ni lama story za vijiweni tyuuWasalaam
Awali eneo lote hili lilikuwa mkoa mmoja mpaka hapo Katavi ilipotangazwa mkoa enzi ya utawala wa Kikwete Pinda akiwa waziri mkuu
Kama umekulia Kilimanjaro...Mbeya ...Arusha...Dodoma bila kutaja Dar na Mwanza...ukienda mikoa hii unaweza kufikiri imeanzishwa hivi karibuni
Ukiambiwa hapa ni mjini utashangaa...lami ya mjini imepatikana kwa uhakika kuanzia mwaka 2015
Ni mikoa ambayo kukutana ghorofa ni nadra sana
Kweli inazalisha chakula lakini ni mikoa inaongoza kwa utopia mlo na umasikini mkubwa.Vijijini hali ni mbaya zaidi...ulevi umekithiri watoto hawasomi shule...mtoto anasoma shule ya mjini lakini ukitizama uniform unaweza kulia na hapo yuko peku ama kavaa yebo moja blue nyingine nyekundu
Ni mikoa inayo ongoza kwa mimba za watoto wadogo
Hawa wakiambiwa upinzani wanakwambia tunaogopa vita...kwa kifupi ni mtaji wa CCM
Stori zao na imani kubwa wamejenga kwenye ushirikina...unakumbuka stori za Mzindakaya na Nyerere?
Ubunge au diwani ni kama wa kaya au too fulani
Kidogo Mpanda inabadilika vijijini kwa ajili ya wasukuma...ukienda vijiji au maeneno ya wenyeji ni aibu aibu
Watakwambia kwanini Namanyele kuna upinzani...ilikuwa too much mbunge aliwatusi vya kutosha ndio wakaamka...ila mikoa hiyo iko nyuma nyuma mno
Wabunge wao ukitoa Mhe.Deus Sangu hawa wengine ni sifuri sifuri sifuri...viongozi wakitaifa wakifika wao huwa ni watu wa pongezi
Mikutano ya CCM inafana sana huko ili mradi wasanii wawepo tena sio Diamond mpeleke Mr.Nice walahi nakwambia wanachanganyikiwa
Huko radio ni 2 tuu...Radio Free Africa na TBC clouds mara chache tuu..
Nyingine za watu binafsi lakini zimejaa matangazo ya tiba za asili na wachungaji
Huko ni kwetu sijasema hata kimoja cha uongo
KabisaUkiona mkoa hauna jimbo hata moja liliwahi kutwaliwa na chama Cha upizani tangu kuanza Kwa mfumo wa vyama vingi, ebu chunguza Hali zao za uchumi na elimu zao.
Mkuu ni bahati ilitoboa kabla ya mwendazake kufariki...hivi hivi ilikua ntolee...ya Kigoma imekwama....ya Karema ndo tusahau ...afu wenyewe wanashinda kwenye pombeIle lami ya tabora kuja mpanda imefikia wapi?
Mwakata uli mukwai?Mmekula shenkete?Wasalaam
Awali eneo lote hili lilikuwa mkoa mmoja mpaka hapo Katavi ilipotangazwa mkoa enzi ya utawala wa Kikwete Pinda akiwa waziri mkuu
Kama umekulia Kilimanjaro...Mbeya ...Arusha...Dodoma bila kutaja Dar na Mwanza...ukienda mikoa hii unaweza kufikiri imeanzishwa hivi karibuni
Ukiambiwa hapa ni mjini utashangaa...lami ya mjini imepatikana kwa uhakika kuanzia mwaka 2015
Ni mikoa ambayo kukutana ghorofa ni nadra sana
Kweli inazalisha chakula lakini ni mikoa inaongoza kwa utopia mlo na umasikini mkubwa.Vijijini hali ni mbaya zaidi...ulevi umekithiri watoto hawasomi shule...mtoto anasoma shule ya mjini lakini ukitizama uniform unaweza kulia na hapo yuko peku ama kavaa yebo moja blue nyingine nyekundu
Ni mikoa inayo ongoza kwa mimba za watoto wadogo
Hawa wakiambiwa upinzani wanakwambia tunaogopa vita...kwa kifupi ni mtaji wa CCM
Stori zao na imani kubwa wamejenga kwenye ushirikina...unakumbuka stori za Mzindakaya na Nyerere?
Ubunge au diwani ni kama wa kaya au too fulani
Kidogo Mpanda inabadilika vijijini kwa ajili ya wasukuma...ukienda vijiji au maeneno ya wenyeji ni aibu aibu
Watakwambia kwanini Namanyele kuna upinzani...ilikuwa too much mbunge aliwatusi vya kutosha ndio wakaamka...ila mikoa hiyo iko nyuma nyuma mno
Wabunge wao ukitoa Mhe.Deus Sangu hawa wengine ni sifuri sifuri sifuri...viongozi wakitaifa wakifika wao huwa ni watu wa pongezi
Mikutano ya CCM inafana sana huko ili mradi wasanii wawepo tena sio Diamond mpeleke Mr.Nice walahi nakwambia wanachanganyikiwa
Huko radio ni 2 tuu...Radio Free Africa na TBC clouds mara chache tuu..
Nyingine za watu binafsi lakini zimejaa matangazo ya tiba za asili na wachungaji
Huko ni kwetu sijasema hata kimoja cha uongo
Taitu kalesa mkwaiMwakata uli mukwai?Mmekula shenkete?
Na hauwaambii kitu kwa CcmWasalaam

Vuka hapo Zambia uniletee mawashawasha mukwai.Nipo Kasumbalesa.Taitu kalesa mkwai.🙏Taitu kalesa mkwai
Yote uliyozungumza ni sahihi, akija kiongozi akiwanunulia wazee debe la pombe amemaliza.Wasalaam
Awali eneo lote hili lilikuwa mkoa mmoja mpaka hapo Katavi ilipotangazwa mkoa enzi ya utawala wa Kikwete Pinda akiwa waziri mkuu
Kama umekulia Kilimanjaro...Mbeya ...Arusha...Dodoma bila kutaja Dar na Mwanza...ukienda mikoa hii unaweza kufikiri imeanzishwa hivi karibuni
Ukiambiwa hapa ni mjini utashangaa...lami ya mjini imepatikana kwa uhakika kuanzia mwaka 2015
Ni mikoa ambayo kukutana ghorofa ni nadra sana
Kweli inazalisha chakula lakini ni mikoa inaongoza kwa utopia mlo na umasikini mkubwa.Vijijini hali ni mbaya zaidi...ulevi umekithiri watoto hawasomi shule...mtoto anasoma shule ya mjini lakini ukitizama uniform unaweza kulia na hapo yuko peku ama kavaa yebo moja blue nyingine nyekundu
Ni mikoa inayo ongoza kwa mimba za watoto wadogo
Hawa wakiambiwa upinzani wanakwambia tunaogopa vita...kwa kifupi ni mtaji wa CCM
Stori zao na imani kubwa wamejenga kwenye ushirikina...unakumbuka stori za Mzindakaya na Nyerere?
Ubunge au diwani ni kama wa kaya au too fulani
Kidogo Mpanda inabadilika vijijini kwa ajili ya wasukuma...ukienda vijiji au maeneno ya wenyeji ni aibu aibu
Watakwambia kwanini Namanyele kuna upinzani...ilikuwa too much mbunge aliwatusi vya kutosha ndio wakaamka...ila mikoa hiyo iko nyuma nyuma mno
Wabunge wao ukitoa Mhe.Deus Sangu hawa wengine ni sifuri sifuri sifuri...viongozi wakitaifa wakifika wao huwa ni watu wa pongezi
Mikutano ya CCM inafana sana huko ili mradi wasanii wawepo tena sio Diamond mpeleke Mr.Nice walahi nakwambia wanachanganyikiwa
Huko radio ni 2 tuu...Radio Free Africa na TBC clouds mara chache tuu..
Nyingine za watu binafsi lakini zimejaa matangazo ya tiba za asili na wachungaji
Huko ni kwetu sijasema hata kimoja cha uongo
wewe sio mtumiaji mpaka unayaita mawasha washa, yana jina lake yanaitwa "maungu"Vuka hapo Zambia uniletee mawashawasha mukwai.Nipo Kasumbalesa.Taitu kalesa mkwai.🙏
Wewe leta hivyohivyo.Kifyasi atumie gari la ofisi kukufikisha.wewe sio mtumiaji mpaka unayaita mawasha washa, yana jina lake yanaitwa "maungu"
Mikoa iko powa sana, hali ya hewa safi. Chakula bwerere, barabara lami toka tuduma-sumbawanga hadi katavi. Ukiwa mwenyeji huko hutakaa utamani maisha ya ovyo ya dar es salaam.Wasalaam
Awali eneo lote hili lilikuwa mkoa mmoja mpaka hapo Katavi ilipotangazwa mkoa enzi ya utawala wa Kikwete Pinda akiwa waziri mkuu
Kama umekulia Kilimanjaro...Mbeya ...Arusha...Dodoma bila kutaja Dar na Mwanza...ukienda mikoa hii unaweza kufikiri imeanzishwa hivi karibuni
Ukiambiwa hapa ni mjini utashangaa...lami ya mjini imepatikana kwa uhakika kuanzia mwaka 2015
Ni mikoa ambayo kukutana ghorofa ni nadra sana
Kweli inazalisha chakula lakini ni mikoa inaongoza kwa utopia mlo na umasikini mkubwa.Vijijini hali ni mbaya zaidi...ulevi umekithiri watoto hawasomi shule...mtoto anasoma shule ya mjini lakini ukitizama uniform unaweza kulia na hapo yuko peku ama kavaa yebo moja blue nyingine nyekundu
Ni mikoa inayo ongoza kwa mimba za watoto wadogo
Hawa wakiambiwa upinzani wanakwambia tunaogopa vita...kwa kifupi ni mtaji wa CCM
Stori zao na imani kubwa wamejenga kwenye ushirikina...unakumbuka stori za Mzindakaya na Nyerere?
Ubunge au diwani ni kama wa kaya au too fulani
Kidogo Mpanda inabadilika vijijini kwa ajili ya wasukuma...ukienda vijiji au maeneno ya wenyeji ni aibu aibu
Watakwambia kwanini Namanyele kuna upinzani...ilikuwa too much mbunge aliwatusi vya kutosha ndio wakaamka...ila mikoa hiyo iko nyuma nyuma mno
Wabunge wao ukitoa Mhe.Deus Sangu hawa wengine ni sifuri sifuri sifuri...viongozi wakitaifa wakifika wao huwa ni watu wa pongezi
Mikutano ya CCM inafana sana huko ili mradi wasanii wawepo tena sio Diamond mpeleke Mr.Nice walahi nakwambia wanachanganyikiwa
Huko radio ni 2 tuu...Radio Free Africa na TBC clouds mara chache tuu..
Nyingine za watu binafsi lakini zimejaa matangazo ya tiba za asili na wachungaji
Huko ni kwetu sijasema hata kimoja cha uongo
We umtokea mkoa upi, ingekuwa vizuri ungejitambulisha kwanza ili tupachambue na huko kwenu. Kilmanjaro kijijini umshawahi kufika? Na Rombo km hujafika hata habari zake huzisikii? Rombo hakuna hata watoto wa kuwasajili darasa la kwanza wenyeji wamekimbia kwasababu ya umaskini, vijana hakuna wa kuweza kuchimba ht mtaro ni kina mama ndio wanafanya hizo kazi. Hakuna mwanaume wa kumtia mimba mwanamke wanaagizwa kutoka Kenya, huko pombe za kienyeji zenye sumu ziko aina zaidi ya 50. Kilimanjaro ipi unaizungumzia? Acha siasa za kishamba, panda jukwaani mwaga sera uwashinde hao CCM siyo huu upuuzi wako. Sumbawanga na Mpanda ni manispaa km Moshi, mnaizidi nini hiyo mikoa nyie nyumbu? Pambav kabisa.Wasalaam