Ijue Rukwa na Katavi mikoa inayotia huruma kimaendeleo mtaji wa CCM

Ijue Rukwa na Katavi mikoa inayotia huruma kimaendeleo mtaji wa CCM

We umtokea mkoa upi, ingekuwa vizuri ungejitambulisha kwanza ili tupachambue na huko kwenu. Kilmanjaro kijijini umshawahi kufika? Na Rombo km hujafika hata habari zake huzisikii? Rombo hakuna hata watoto wa kuwasajili darasa la kwanza wenyeji wamekimbia kwasababu ya umaskini, vijana hakuna wa kuweza kuchimba ht mtaro ni kina mama ndio wanafanya hizo kazi. Hakuna mwanaume wa kumtia mimba mwanamke wanaagizwa kutoka Kenya, huko pombe za kienyeji zenye sumu ziko aina zaidi ya 50. Kilimanjaro ipi unaizungumzia? Acha siasa za kishamba, panda jukwaani mwaga sera uwashinde hao CCM siyo huu upuuzi wako. Sumbawanga na Mpanda ni manispaa km Moshi, mnaizidi nini hiyo mikoa nyie nyumbu? Pambav kabisa.
Jambo likishaingiliwa na siasa ndo basi tena.
 
Mkuu ni bahati ilitoboa kabla ya mwendazake kufariki...hivi hivi ilikua ntolee...ya Kigoma imekwama....ya Karema ndo tusahau ...afu wenyewe wanashinda kwenye pombe
We bwege lami ya Tabora-Mpanda, Tunduma-Sumbawanga alizijenga Kikwete siyo huyo mshamba wenu mfu. Vijana wa siku hizi ni viongo, vizushi, vipotoshaji na hawana ht haya.
 
Mikoa iko powa sana, hali ya hewa safi. Chakula bwerere, barabara lami toka tuduma-sumbawanga hadi katavi. Ukiwa mwenyeji huko hutakaa utamani maisha ya ovyo ya dar es salaam.
Mpaka uwe nazo.

Maeneo mengi yanayoonekana ni magumu, ukiwa nazo maisha ni narahisi sana.

Sasa kama ni mzawa, kutoboa maeneo hayo ni vigumu sana.
 
We bwege lami ya Tabora-Mpanda, Tunduma-Sumbawanga alizijenga Kikwete siyo huyo mshamba wenu mfu. Vijana wa siku hizi ni viongo, vizushi, vipotoshaji na hawana ht haya.
Nimepitia personally wakati lami ikijengwa sikonge kuelekea mpanda kipindi Cha jpm
 
Kina mzindakaya, pinda, njoo mpaka kina prudence kikwembe na umaarufu wao wote walishindwa nini kupang'arisha huko wanapotoka? Lakini si ajabu, hata Lissu mpinzani mkubwa Tanzania anapotoka Ikungi hapalingani na hadhi yake. Jimbo la Singida mashariki zamani likiitwa singida kusini ni vijiji vitupu visivyo na maendeleo ya kusisimua hata watu waseme naam hapa ni eneo analotoka Lissu
 
Lau Lissu atajitetea hayuko chama tawala sasa hawa wengine walikuwa ndani ya serikali kabisa
 
We umtokea mkoa upi, ingekuwa vizuri ungejitambulisha kwanza ili tupachambue na huko kwenu. Kilmanjaro kijijini umshawahi kufika? Na Rombo km hujafika hata habari zake huzisikii? Rombo hakuna hata watoto wa kuwasajili darasa la kwanza wenyeji wamekimbia kwasababu ya umaskini, vijana hakuna wa kuweza kuchimba ht mtaro ni kina mama ndio wanafanya hizo kazi. Hakuna mwanaume wa kumtia mimba mwanamke wanaagizwa kutoka Kenya, huko pombe za kienyeji zenye sumu ziko aina zaidi ya 50. Kilimanjaro ipi unaizungumzia? Acha siasa za kishamba, panda jukwaani mwaga sera uwashinde hao CCM siyo huu upuuzi wako. Sumbawanga na Mpanda ni manispaa km Moshi, mnaizidi nini hiyo mikoa nyie nyumbu? Pambav kabisa.
Tena wala usijilinganishe na Kilimanjaro...hao wenzako vijiji vyao ni kama miji...majumba na mahekalu yanayopatikana vijijini huwezi kuyakuta Mpanda au Sumbawanga...

Wenzenu maji safi na lami wanavyo tangu enzi...akina Sumaye...Lowassa walikuwa wazalendo sisi akina Mzindakaya au Kimiti walifanya nini zaidi ya stori za kutundika koti hewani
 
unashangaa nini mkuu, huwezi kupita njiani usikutane na mtu kava hayo mavazi, hasa kwenye vilabu vya pombe unaweza fikiri kuna mkutano wa siasa kumbe hizo nguo ndio mtoko
Nipo kujionea
 
Ukweli mchungu asee ndiomaana unakuta watu wakali hawkubali ukweli
 
Mtoa mada unatokea mkoa Gani Rukwa au katavi?nikweli zamani 2015 kurudi nyuma palikua chaka mbaya hata Barabara ya kutoka tunduma-sumbawanga-mpanda ilikua haipitiki lakini saivi sio hivo Tena,pameendelea sana kwanza kutokana na ujio wa wageni hasa wasukuma,waha na wahutu waliopewa uraia mwaka 2015 mfn mpanda ya Sasa sio mpanda ya mwaka 2010.
Ingawa siko huko toka 2015 lakini now Kuna mabadiliko makubwa sana usafiri wa kuingia na kutoka masaa 24 mpanda-dar,mpanda-mwanza,mpanda-kigoma n.k ni masaa 24 kwa kua Barabara ya mapanda-tabora ilishakamilika,airport ipo ndege zinatua kila saa,mwamkulu,mwamapuli,inyonga,kule machimboni n.k hayo ni maeneno ya uzalishaji mpunga ambavyo vyote ni vichocheo vya ukuaji uchumi.
Tatizo Moja tu ni kua uchumi wa mikoa hiyo kwa 99%umeshikiliwa na wageni huku wenyeji wakibaki kupiga zao ulabu.
 
Back
Top Bottom