Lakini pia mikoa mingi hua inaendelezwa na wageni ni nadra sana kukuta eneo ambalo wanapatikana wenyeji kwa ukubwa kukuta limeendelea,na Hilo ndilo liliokua linaukumba mkoa wa Rukwa zamani kabla ya kugawanywa.
Nina uhakika hata namanyere ambayo ilikua nyuma zaidi ya wilaya zote za sumbawanga,na mpanda Leo sio ile Tena kwa sababu hata shule Yao kongwe ya sekondari ambayo ni nkasi sekondari saivi inafafana na shule zingine za maana hasa baada ya mwaka 2013 sisi kupigwa faini ya kugomea ugali wa shule na kuutia mchanga siku ambayo tulipaswa kula wali