Ijue sababu ya marafiki wa DSM kuwakimbia na kuanzisha visingizio pale inapofika mda wa kupokea washkaji zao wa mikoani

Ijue sababu ya marafiki wa DSM kuwakimbia na kuanzisha visingizio pale inapofika mda wa kupokea washkaji zao wa mikoani

Poleni sana, mi wageni wangu wakija huwa ndio week ya kuchekelea maana wakija wanakuja full. Wengi wanajielewa kiuchumi hawaji kunitia umaskini bali wanakuja na vyombo vyao kabisa unakabidhiwa uskani tu ndio nakuwa guide sasa na huwa hatushindi ndani.

Misele tu ya town tumeingilia kushoto tumetokea kulia mwisho wa siku kulala kwake ni hotelini. Mkiachana unakula posho yani kizungu wala hujutii kutumia muda wako nayeye. Hata akikaa zake week wala haina shida.

Nashukuru Mungu wageni wa kuwabeba huwa sinaga wengi sana. Huwa si fake life kabisa.
 
Jambo hili lipo hata kwa wafanyakazi..yaani wafanyakazi wa Dar wakija mikoani unawatafutia sehemu ya kulala japo atalipa mwenyewe..utakuwa nae kwenye mizunguko baada ya kazi nk.
Nenda wewe Dar..mtakutana kwenye kikao/mkutano na baada ya hapo kila mtu kivyake vyake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jaman
 
Poleni sana, mi wageni wangu wakija huwa ndio week ya kuchekelea maana wakija wanakuja full. Wengi wanajielewa kiuchumi hawaji kunitia umaskini bali wanakuja na vyombo vyao kabisa unakabidhiwa uskani tu ndio nakuwa guide sasa na huwa hatushindi ndani.

Misele tu ya town tumeingilia kushoto tumetokea kulia mwisho wa siku kulala kwake ni hotelini. Mkiachana unakula posho yani kizungu wala hujutii kutumia muda wako nayeye. Hata akikaa zake week wala haina shida.

Nashukuru Mungu wageni wa kuwabeba huwa sinaga wengi sana. Huwa si fake life kabisa.
itabidi nije kwako hapo dar kumbe huna maisha fake hahhaaaaaa
 
Wewe acha hizo hakuna tofauti ya gharama ya nyumba Dsm na mikoani. Usijitoe ufahamu.

Yaani Hakuna tofauti wa nyumba Dar na mikoani?

Wakati Dar humohumo Kuna tofauti ya Bei ya nyumba kulingana na mitaa

Kwa hiyo Bei ya nyumba Upanga ni Sawa na Kaliui?
 
Dar maisha mepesi ukiwa ndani na nje ya mfumo.

Ila mikoani nje ya mfumo utajiua na double kick tu. Maisha magumu sana mkoani hasa ukiwa nje ya mfumo wa ajira au kazi.
Mikoani maisha simple, kazi za kilimo kwa wingi.
Au wee unazungumzia mikoa ipi?
 
Ndio maana mwanzoni nilikuita mjinga mjinga now umethibitisha.

NY inaongozwa kwa mifumo unashindwa vipi kusurvive? Huyo boya aliyekutelekeza naye alikuona we mbwiga akaamua akuteme.

Haya hiyo Queens unayodai ulifikia ni Jamaica Avenue au?
Utaniita mshamba sikatai uwezi kutoka dar ukaingia new york ukawa mjanja,lazima ujipe muda wa kusoma mazingira,kuendesha gari new york kwa mgeni usichukulie poa
 
Mnaijua jiografia ya Dar lakini? Kuna dogo juzi kanicheki ananambia bro tuonane nikupe Hi afu kafikia kigamboni. Utoke kigamboni hadi kinyerezi ni siku imeisha..nani anahuo muda
 
Mtu anafika kwako mna utaratibu wenu wa kukalia mito na zulia lako akifika huko anaanza kutangaza hauna hela hata ya kununua kochi [emoji23][emoji23][emoji23]

Mi sitaki mgeni kwangu
Hahahaha wambea hao
 
Nakumbuka Kuna mwamba aikuwa ni mwanangu kabisa nilimcheki na kumpa taarifa hata kabla sijaondoka na pia nipo kwnye basi nikamwambia Tena jawabu alilonijibu ni kwamba hamna noma njoo huezi amini picha linaanza nakarbia kufika nipo maeneo ya kibaha nikamcheki hapokei Simu nikajipa moyo Ile nafika stend mbezi mwamba hapokei simu

Nikapiga moyo konde Hadi nikafika magomeni mwamba namchek Tena hapokei hyo ni mida ya saa tatu usiku baada ya dakika tano namcheki kazim simu Sasa hapo akili ikanikaa sawa .

Nikachekecha nikamcheki mwanangu mwengine wa mkoan akanipa ramani ya mshkaji wake yeye yupo dsm basi nikawasiliana Naye nikakutana Naye mwamba akanipokea vizur mnoo

Wakti Huo nilikuwa nimekwnda dsm kwa ajili ya safari yangu ya nje ya nchi na sikumwambia mshkaji nilipanga kumsuprise maan n mwanangu wa karibu kumbe nilikuwa najidanganya.

Siku iliyofuata nikakwea pipa nikafika destination ya safari yangu .Nilikaa almost 2 month alikuja kunicheki Tena kwa aibu baada ya kupata taarifa zangu .

Mwamba nilmchana nikamwambia Ile Siku nafika kwko ndo ilikuwa safari yangu wacha ajilaumu ikaishia hvo yaan nilmshusha vyeo kabisa .
 
D
Nakumbuka Kuna mwamba aikuwa ni mwanangu kabisa nilimcheki na kumpa taarifa hata kabla sijaondoka na pia nipo kwnye basi nikamwambia Tena jawabu alilonijibu ni kwamba hamna noma njoo huezi amini picha linaanza nakarbia kufika nipo maeneo ya kibaha nikamcheki hapokei Simu nikajipa moyo Ile nafika stend mbezi mwamba hapokei simu

Nikapiga moyo konde Hadi nikafika magomeni mwamba namchek Tena hapokei hyo ni mida ya saa tatu usiku baada ya dakika tano namcheki kazim simu Sasa hapo akili ikanikaa sawa .

Nikachekecha nikamcheki mwanangu mwengine wa mkoan akanipa ramani ya mshkaji wake yeye yupo dsm basi nikawasiliana Naye nikakutana Naye mwamba akanipokea vizur mnoo

Wakti Huo nilikuwa nimekwnda dsm kwa ajili ya safari yangu ya nje ya nchi na sikumwambia mshkaji nilipanga kumsuprise maan n mwanangu wa karibu kumbe nilikuwa najidanganya.

Siku iliyofuata nikakwea pipa nikafika destination ya safari yangu .Nilikaa almost 2 month alikuja kunicheki Tena kwa aibu baada ya kupata taarifa zangu .

Mwamba nilmchana nikamwambia Ile Siku nafika kwko ndo ilikuwa safari yangu wacha ajilaumu ikaishia hvo yaan nilmshusha vyeo kabisa .hatar sana
 
Dah pole nami nimepata safari ya ghafla hapa [emoji23][emoji23]
Mwenyeji wangu hakufika kunipokea Bus Stand hivyo nilitafuta mahali nikafikia kwa siku hizi ambazo niko hapa Jijini,hapa nilipofikia siyo mbaya napata huduma vizuri na vyumba vyao siyo bei kubwa sana kama ambavyo niliwaza.
 
Back
Top Bottom