Mliokulia masaki mna raha sana.Ni ulemavu wa fikra na akili kutawaliwa na mawazo hayo katika zama hizi za sayansi na teknolojia!
Hata kwa macho tu ya kawaida hali ya uchumi wa mkoa wa kigoma inakupa jawabu la maswali yako yote!
Mtoa mada jitoe kwenye huo utumwa wa fikra na uitumie akili yako inavyotakikana!
kwani mtu anaekwenda beach huwa anapata faida gan?Hv wanaroga kumkomoa nani?
Chuma kile cha mjerumani, wajerumani wako vizuri katika kucompromise na luciferi.Unataka kuniambia uchawi upo kigoma na sumbawanga tu? Hapo unaelezea mawazo yako nawala si uhalisia. Waambie waloge na train basi!
Saratoga mwenyewe ameanza kufulia yutong zote hana amerudia macheses ya malori. Hivi bado watu wenye mawazo mfu Kama wewe mpo tu?
Mshirikina we!Njia ya Dar-Kigoma, Dar-Sumbawanga Ni miongoni mwa njia chache Sana ambazo ukiomba kibari Cha njia (TLB ) Kutoka SUMATRA hutasumbuka hata kidogo!
Hii inatokana na dhana ya uhaba wa mabasi kwenda maeneo hayo!
Swali hapa je; kwanini Ni machache?
UKWELI NI KWAMBA hivyo vyote si sababu ya msingi kwa wafanya biashara kupeleka mabasi Kigoma na Rukwa!
- Wengi wanadhani uhaba wa mabasi unachangiwa na Miondombinu (barabara)
- Wengi wanadhani uhaba wa mabasi unachangiwa na uchache wa abiria.
- wengi wanadhani uhaba wa mabasi unachangiwa na uwepo wa Gari Moshi!
kwasababu;
SIRI YA NJIA HIZO KUWA NA MABASI MACHACHE NI USHIRIKINA
- Kama ni ishu ya barabara, Njia ya zamani ya kuzunguka RUNZEWE haitumiki tena, Sahivi Kuna lami mpya kutokea Manyoni hadi Tabora (shortcut) na kutoka Tabora hadi Kigoma
- Kama ni Abiria toka kigoma wapo wa kutosha tena wengine kutoka Rwanda na Burundi
- Kama ni Gari Moshi, Ukweli Ni kwamba, Abiria wa mabasi na wale wa treni hawafungamani, hii ni sawa na abiria wa tax na wa bodaboda wasivyofungamana, Kila usafiri una abiria wake!
Yes! Bila kuweka Natural Capastor! Njia ya kigoma Basi jipya Halitoboi hata siku moja! Akijitahidi Sana Atakwenda ruti moja ya pili hageuki!
Wababe wa njia Saratoga, adventure wamedumu kwenye njia hizi kwasababu ya Natural Capacitor!
Mwenye Basi jipya akithubutu njia hizo bila kufunga capacitor ajiandae na mapigo Kama;
Mwisho; Ingawa siyo mwisho kwa umuhimu; UKIJUA KUOMBA HAKIKISHA UNAJUA KUKILINDA PIA!
- kwanza kabisa Basi jipya likianza Safari njia hizo hata ukitumia dreva mwenyeji- Ni pigo la kupotea njia ( yaani utaondoka Dar vizuri lakini huko mtauliza Sana njia kwa kupotea potea!
- Pigo la pili Ni GIA Kugoma kuingia; Yaani Gari utaifanyia service fresh kabisa utapeleka stendi tayari kwa safari kubeba abiria lakini ukishatoka nje ya mji tu, Gia zinaanza kumiss na zinapotea! Utaita fundi kutengeneza hadi zipatikane inakuwa tayari ishakua mchana na abiria washachoka!
- pigo la tatu ni kupigwa cheti au faini huko njiani; Yaani Askari wakiliona gari lako tu hasira zinawajaa bila sababu (kimavi) Utapigwa faini usipoangalia na gari lako utalikuta kituoni hata sababu ya msingi ya kukamatwa haitakuwa ya maana..
- Ukiruka hizo tatu zote bila kuweka capacitor....Namba nne Itakuwa Ni..............
- Namba tano Utakomaa Sana kufuatilia bima! na Ikitokea ukilipwa lazima utangaze kwenda Kuanza biashara ya kilimo Ambako nako huko Wafugaji wanakusubili!
Kama Imani yako ni haba FUNGA capacitor kwenye kila jambo!
Kila njia Ina Barrier (BERIA) ya kishirikina kila mkoa kwa wafanya biashara hususani maroli na mabasi; Mfano BERIA ya MTO WAMI :
kibaha na mlandizi kwa mkoa wa pwani etc
Na kwasababu wazungu wanalijua Hilo!
Wengi wamefungwa na password hii"
" Amelaaniwa Amtegemeae Binadam na kumfanya Kinga yake"
Je; Hujawahi kuta Basi limeacha njia Wakati nyuma limeandikwa "IN G*D WE TRUST" ?
Hapo nakubaliana na wewe kiufupi hizi biashara za usafirishaji karibu mikoa yote ni ushirikina mwanzo mwisho mshana alishawambia we jeribu kwenda na njiwa kwenye bus yeyote iwe ya mlokole au ustadhi uone utakavyotolewa baru jiulize kulikoooniiiNjia ya Dar-Kigoma, Dar-Sumbawanga Ni miongoni mwa njia chache Sana ambazo ukiomba kibari Cha njia (TLB ) Kutoka SUMATRA hutasumbuka hata kidogo!
Hii inatokana na dhana ya uhaba wa mabasi kwenda maeneo hayo!
Swali hapa je; kwanini Ni machache?
UKWELI NI KWAMBA hivyo vyote si sababu ya msingi kwa wafanya biashara kupeleka mabasi Kigoma na Rukwa!
- Wengi wanadhani uhaba wa mabasi unachangiwa na Miondombinu (barabara)
- Wengi wanadhani uhaba wa mabasi unachangiwa na uchache wa abiria.
- wengi wanadhani uhaba wa mabasi unachangiwa na uwepo wa Gari Moshi!
kwasababu;
SIRI YA NJIA HIZO KUWA NA MABASI MACHACHE NI USHIRIKINA
- Kama ni ishu ya barabara, Njia ya zamani ya kuzunguka RUNZEWE haitumiki tena, Sahivi Kuna lami mpya kutokea Manyoni hadi Tabora (shortcut) na kutoka Tabora hadi Kigoma
- Kama ni Abiria toka kigoma wapo wa kutosha tena wengine kutoka Rwanda na Burundi
- Kama ni Gari Moshi, Ukweli Ni kwamba, Abiria wa mabasi na wale wa treni hawafungamani, hii ni sawa na abiria wa tax na wa bodaboda wasivyofungamana, Kila usafiri una abiria wake!
Yes! Bila kuweka Natural Capastor! Njia ya kigoma Basi jipya Halitoboi hata siku moja! Akijitahidi Sana Atakwenda ruti moja ya pili hageuki!
Wababe wa njia Saratoga, adventure wamedumu kwenye njia hizi kwasababu ya Natural Capacitor!
Mwenye Basi jipya akithubutu njia hizo bila kufunga capacitor ajiandae na mapigo Kama;
Mwisho; Ingawa siyo mwisho kwa umuhimu; UKIJUA KUOMBA HAKIKISHA UNAJUA KUKILINDA PIA!
- kwanza kabisa Basi jipya likianza Safari njia hizo hata ukitumia dreva mwenyeji- Ni pigo la kupotea njia ( yaani utaondoka Dar vizuri lakini huko mtauliza Sana njia kwa kupotea potea!
- Pigo la pili Ni GIA Kugoma kuingia; Yaani Gari utaifanyia service fresh kabisa utapeleka stendi tayari kwa safari kubeba abiria lakini ukishatoka nje ya mji tu, Gia zinaanza kumiss na zinapotea! Utaita fundi kutengeneza hadi zipatikane inakuwa tayari ishakua mchana na abiria washachoka!
- pigo la tatu ni kupigwa cheti au faini huko njiani; Yaani Askari wakiliona gari lako tu hasira zinawajaa bila sababu (kimavi) Utapigwa faini usipoangalia na gari lako utalikuta kituoni hata sababu ya msingi ya kukamatwa haitakuwa ya maana..
- Ukiruka hizo tatu zote bila kuweka capacitor....Namba nne Itakuwa Ni..............
- Namba tano Utakomaa Sana kufuatilia bima! na Ikitokea ukilipwa lazima utangaze kwenda Kuanza biashara ya kilimo Ambako nako huko Wafugaji wanakusubili!
Kama Imani yako ni haba FUNGA capacitor kwenye kila jambo!
Kila njia Ina Barrier (BERIA) ya kishirikina kila mkoa kwa wafanya biashara hususani maroli na mabasi; Mfano BERIA ya MTO WAMI :
kibaha na mlandizi kwa mkoa wa pwani etc
Na kwasababu wazungu wanalijua Hilo!
Wengi wamefungwa na password hii"
" Amelaaniwa Amtegemeae Binadam na kumfanya Kinga yake"
Je; Hujawahi kuta Basi limeacha njia Wakati nyuma limeandikwa "IN G*D WE TRUST" ?
wengi wanadhani uhaba wa mabasi unachangiwa na uwepo wa Gari Moshi!
Subiri iwe lami tupu.Njia ya Dar-Kigoma, Dar-Sumbawanga Ni miongoni mwa njia chache Sana ambazo ukiomba kibari Cha njia (TLB ) Kutoka SUMATRA hutasumbuka hata kidogo!

Ilungu,Biashara ya mabas lazma ujipange Sio yakukurupukia. Kamuulize ZUBERI ndio anajua kilicho mkuta huko.
Hata njia ya mwanza - musoma kuna kijiji kipo katikat hapo kabla ujafika magu ukiwa unatoka musoma, pale bas uwa aitakiwi kusimama ila kama kwenye bas kuna abiria anashukia hapo inabid mkubari kumshushia hapo las hvyo hamtafika mnapoenda yan pale ukigonga ata kuku shuka umtafte mwenye nayo umuombe samahan mbali na hapo utofika unapo enda salama.
Yan kama upo stend alaf ukamwambia konda unaenda kwenye hcho kijiji unaweza usipate ticket kabsa maana wanapaeshim mno kwa uchawi
Ruti ya tanga mbeya imekaa vibaya haina abiria wengi ndio mana,mimi naishi tanga believe itTanga kwenda Mbeya basi ni moja tu miaka nenda miaka rudi, na limechoka kweli siku hizi linaitwa Mbeya City zamani No Challenge aka Air Shengena. Linaweza safiri siku 2 kwenda Mbeya. Story ni kama hizohizo za Kigoma, ulozi.
Sasa Kuna tahmeed luxury tanga mbeyaTanga kwenda Mbeya basi ni moja tu miaka nenda miaka rudi, na limechoka kweli siku hizi linaitwa Mbeya City zamani No Challenge aka Air Shengena. Linaweza safiri siku 2 kwenda Mbeya. Story ni kama hizohizo za Kigoma, ulozi.
Ndio maana huko Tanganyika maendeleo hayafiki.Njia ya Dar-Kigoma, Dar-Sumbawanga Ni miongoni mwa njia chache Sana ambazo ukiomba kibari Cha njia (TLB ) Kutoka SUMATRA hutasumbuka hata kidogo!
Hii inatokana na dhana ya uhaba wa mabasi kwenda maeneo hayo!
Swali hapa je; kwanini Ni machache?
UKWELI NI KWAMBA hivyo vyote si sababu ya msingi kwa wafanya biashara kupeleka mabasi Kigoma na Rukwa!
- Wengi wanadhani uhaba wa mabasi unachangiwa na Miondombinu (barabara)
- Wengi wanadhani uhaba wa mabasi unachangiwa na uchache wa abiria.
- wengi wanadhani uhaba wa mabasi unachangiwa na uwepo wa Gari Moshi!
kwasababu;
SIRI YA NJIA HIZO KUWA NA MABASI MACHACHE NI USHIRIKINA
- Kama ni ishu ya barabara, Njia ya zamani ya kuzunguka RUNZEWE haitumiki tena, Sahivi Kuna lami mpya kutokea Manyoni hadi Tabora (shortcut) na kutoka Tabora hadi Kigoma
- Kama ni Abiria toka kigoma wapo wa kutosha tena wengine kutoka Rwanda na Burundi
- Kama ni Gari Moshi, Ukweli Ni kwamba, Abiria wa mabasi na wale wa treni hawafungamani, hii ni sawa na abiria wa tax na wa bodaboda wasivyofungamana, Kila usafiri una abiria wake!
Yes! Bila kuweka Natural Capastor! Njia ya kigoma Basi jipya Halitoboi hata siku moja! Akijitahidi Sana Atakwenda ruti moja ya pili hageuki!
Wababe wa njia Saratoga, adventure wamedumu kwenye njia hizi kwasababu ya Natural Capacitor!
Mwenye Basi jipya akithubutu njia hizo bila kufunga capacitor ajiandae na mapigo Kama;
Mwisho; Ingawa siyo mwisho kwa umuhimu; UKIJUA KUOMBA HAKIKISHA UNAJUA KUKILINDA PIA!
- kwanza kabisa Basi jipya likianza Safari njia hizo hata ukitumia dreva mwenyeji- Ni pigo la kupotea njia ( yaani utaondoka Dar vizuri lakini huko mtauliza Sana njia kwa kupotea potea!
- Pigo la pili Ni GIA Kugoma kuingia; Yaani Gari utaifanyia service fresh kabisa utapeleka stendi tayari kwa safari kubeba abiria lakini ukishatoka nje ya mji tu, Gia zinaanza kumiss na zinapotea! Utaita fundi kutengeneza hadi zipatikane inakuwa tayari ishakua mchana na abiria washachoka!
- pigo la tatu ni kupigwa cheti au faini huko njiani; Yaani Askari wakiliona gari lako tu hasira zinawajaa bila sababu (kimavi) Utapigwa faini usipoangalia na gari lako utalikuta kituoni hata sababu ya msingi ya kukamatwa haitakuwa ya maana..
- Ukiruka hizo tatu zote bila kuweka capacitor....Namba nne Itakuwa Ni..............
- Namba tano Utakomaa Sana kufuatilia bima! na Ikitokea ukilipwa lazima utangaze kwenda Kuanza biashara ya kilimo Ambako nako huko Wafugaji wanakusubili!
Kama Imani yako ni haba FUNGA capacitor kwenye kila jambo!
Kila njia Ina Barrier (BERIA) ya kishirikina kila mkoa kwa wafanya biashara hususani maroli na mabasi; Mfano BERIA ya MTO WAMI :
kibaha na mlandizi kwa mkoa wa pwani etc
Na kwasababu wazungu wanalijua Hilo!
Wengi wamefungwa na password hii"
" Amelaaniwa Amtegemeae Binadam na kumfanya Kinga yake"
Je; Hujawahi kuta Basi limeacha njia Wakati nyuma limeandikwa "IN G*D WE TRUST" ?
[emoji23][emoji23][emoji23]Namba 4 umenifurahisha, wakulima noma Masai Wasukuma wakiona mimea ya mazao wameona nyasi.
Huko magu asilimia kubwa wanaamin ushirikinaBiashara ya mabas lazma ujipange Sio yakukurupukia. Kamuulize ZUBERI ndio anajua kilicho mkuta huko.
Hata njia ya mwanza - musoma kuna kijiji kipo katikat hapo kabla ujafika magu ukiwa unatoka musoma, pale bas uwa aitakiwi kusimama ila kama kwenye bas kuna abiria anashukia hapo inabid mkubari kumshushia hapo las hvyo hamtafika mnapoenda yan pale ukigonga ata kuku shuka umtafte mwenye nayo umuombe samahan mbali na hapo utofika unapo enda salama.
Yan kama upo stend alaf ukamwambia konda unaenda kwenye hcho kijiji unaweza usipate ticket kabsa maana wanapaeshim mno kwa uchawi
thubutu yako...weka kigoma uone Kama hamjapoteanaSubiri iwe lami tupu.
Kumbuka ya Lindi na Mtwara enzi hizo. Sasa hivi Wamakonde ni mwendo wa Luxury.
yaaanHuko magu asilimia kubwa wanaamin ushirikina
MKUU umeandka haya lakn najua unaelewa fika haya mambo, sio ulemave wala nini..... hata technolojia haiwez pindua iman hzo.Ni ulemavu wa fikra na akili kutawaliwa na mawazo hayo katika zama hizi za sayansi na teknolojia!
Hata kwa macho tu ya kawaida hali ya uchumi wa mkoa wa kigoma inakupa jawabu la maswali yako yote!
Mtoa mada jitoe kwenye huo utumwa wa fikra na uitumie akili yako inavyotakikana!
Zuberi bado inawika nduguBiashara ya mabas lazma ujipange Sio yakukurupukia. Kamuulize ZUBERI ndio anajua kilicho mkuta huko.