Vyamavingi
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 5,818
- 5,555
Simba wa Tsavo ni story ya Kenya na waliojenga reli na kupambana nao ni WaingerezaChuma kile cha mjerumani, wajerumani wako vizuri katika kucompromise na luciferi.
Kasome habari za Simba wa Tsavo, utaelewa.
Hata kama yapo, lakn kuegemeza akili yako huko ni kulemaza akili na kuipunguzia utendaji kazi!MKUU umeandka haya lakn najua unaelewa fika haya mambo, sio ulemave wala nini..... hata technolojia haiwez pindua iman hzo.
oohHata kama yapo, lakn kuegemeza akili yako huko ni kulemaza akili na kuipunguzia utendaji kazi!
Muulize kwann ataki kupeleka huko gar zakeZuberi bado inawika ndugu
Yeah ni waingereza.... my point ilikuwa kwenye ujenzi na magumu yake.Simba wa Tsavo ni story ya Kenya na waliojenga reli na kupambana nao ni Waingereza
Vv
Wasafiri kwenda wapi huku wamekalia uchawi,watu wanasafiri kwa ajili ya shuguli nyingi za biashara.Mkoa hata kimaendelea upo wa mwisho huko,hata hao wanaosafiri wengi ni watumishi wa umma walioletwa huko kikazi.Acha uongo.
Sumbawanga abiria sio wengi huu mkoa kwa asili watu wake sio watu wa kusafirisafiri .
Kama sijakosea zipo bus kama 4 hivi from Swanga to Dsm daily.
Luxury ipo new force.
miongoni mwa uzoefu Ni pamoja na yale mambo sasaDar-Kigoma, Dar- Bukoba, Dar- Sumbawanga kama ilivyo Dar- Kigali/Lusaka/Bujumbula na Dar- Kampala ni safari ndefu inayokaribia au kuzidi kilometa 1000, Safari yake siyo ya kitoto hata kwa abiria na ni lazima gari lilale mahali fulani ili kuendelea na safari kesho yake. Safari hii inachosha kwa abiria na madereva na uchakavu wa gari hata kama ni jipya huonekana wazi baada ya kwenda na kurudi!. Hakuna uchawi hapo ila hao kina Saratoga na Adventure ni maveterani wa usafirishaji tangu miaka ya sitini..... wana uzoefu wa kufa mtu hao!.
😡😡Na bado mtu anajiuliza kwanini ccm bado inatawala ikiwa akili za watanzania ndo kama hii ya mtoa mada