Ijue siri na sababu za malalamiko ya Teuzi kwa hoja za Udini katika Awamu hii ya Sita

Mkuu umesahau wakat wa JK yule makamu wa rais mzanzibar wakaanzisha movement ya kiislam katika chuo cha Dodoma walivyokuwa hawana aibu wakapanga kabisa kila kiongoz wa chuo wahakikishe ni muislam. Wakasahau Roman Catholic iko macho kila wanachopanga inajulikana. Mnawekewa ustaadh flan na ndevu za kutosha kila kitu kinakuwa peupee.
 
Huyu mama inawezekana anataka kujijenga kupitia kete ya udini baada ya kujaribu kete ya uanamke kipindi fulani hapo nyuma. Inawezekana anahisi akiji identify kama mzanzibari huenda asipenye kwenye kinyang'anyiro cha 2025 kwa kukosa support au kura za watanganyika. Sijui kwa nini anawaza kuendelea na urais awamu ijayo hadi kutaka kuleta hali ya mgawanyiko wa kidini kwa ajili ya maslahi yake ya kisiasa........watanganyika inabidi tushituke mapema.​
 
acha tu mkuu mtu analeta mada ya hovyo kabisa afu watu wanashangilia ujinga huu
 
Kwani kafanyaje ili ili tuweze kuthibitisha kuwa anajijenga kupitia udini?
 
Phy...
Anaetakiwa kutoa majibu katika hili tatizo ni serikali si wewe kuwajibu Waislam.
Waislam wana majibu kwa serikali.

Mimi na wewe hapa tutahangaishana na wataingia watu katika mjadala huu na kila aina ya maneno.
Usikimbizie mjadala kwenye serikali haya madai haiyatoi serikali wanayatoa sana sana waisilamu na hivi vielelezo ulivyoleta hapa naamini umevitafuta wewe. Nilichouliza mimi ni kuhusu mantiki ya hoja.

Unapoleta hoja kwamba waisilamu sio wengi kwenye teuzi usije wakati huohuo na hoja kwamba serikali imewezesha wakristo wengi sana kusoma na kuwabana waisilamu hapa hoja yako itakuwa inajipinga.

Ili hoja yako ikae sawa ulipaswa kusema serikali imewanyima waisilamu elimu hivyo hakuna uwanja sawia wa kushindana kwenye soko la ajira.

Tokea hapo ndio tujadili nini kifanyike.
 
Mleta mada, huwa napenda mada zako nyingi, lakini tatizo lako ni hili la kugawanya watu katika makundi ya kidini. Hili unalo sana wewe, na unadhani kila mtu yuko kama wewe katika eneo hili.

Hili tatizo limekulemea sana; yaani hukunyima raha kila mara, na inalazimu ulisemee tu bila ya kuwaza jambo jingine lolote. Ni kama sumaku kwako, ni lazima ikuvute tu, utake usitake.
 
The Phy...
Waislam hawajapata kuwa na ugomvi na ndugu zao Wakristo hata siku moja.

Nyerere kafika Dar-es-Salaam mgeni.

Nani walimpokea?

Wazee wetu hawakusema huyu anakula sahani moja na wakoloni na kumtenga.

Waislam wanapoeleza hali iliyoko nchini iwe Shura ya Maimamu au watu binafsi hawakusudiwi raia inakusudiwa serikali.

Serikali ndiyo inawajibika kuchunguza na kama kuna ukweli kuchukua hatua.

 
Hawa dawa yao 2025 watarudi Zanzibar, huwezi kujaza watu wa Pwani, Tanga na Zanzibar kama vile sehemu zingine hakuna watu, wakristo siyo wajinga kiasi hicho
Mkuu, naona watu mnaingia kwenye mtego uleule ulionuiwa uwanase.
Inaonyesha dhahiri Samia na genge lake wanatafuta kuamsha hisia kama hizi zinazowaingia kichwani na kujisahau kabisa kwamba kuna ajenda inatekelezwa.

Kupambana na ajenda hiyo inalazimu utambue kwa nini inaletwa kwanza na utafute njia sahihi za kutoongeza petroli kwenye tatizo husika.

Hii ni Tanzania ya waTanzania, siyo ya kundi maalum. Tuaanzia hapo.
 
 
 
Ujinga huanzia hapa:

"Nyerere kafika Dar es Salaam mgeni"

"Wazee wetu hawakusema huyu anakula sahani moja na wakoloni na kumtenga"

Hii Dar es Salaam ndilo lililkuwa koloni la Waingereza?

Kama Nyerere alikuwa anakula sahani moja na wakoloni, iweje tena apokelewe na hao wazee, hii ina mantiki yoyote?

Dunia ya hao wazee unaowazungumzia iliishia Kariakoo.
 
Hizi ni taarifa za malalamiko ya siku nyingi sana, sihitaji kukumbushwa juu yake; nimeshuhudia matokeo ya kazi za taasisi hiyo. Ni malalamishi ambayo hayakuwa na msingi wowote, bali kuwa na madhumuni ya kusukuma ajenda tu.
 
 
Hili jizee ni likafiri sana, linachukia sana waislam, lilikua lipadri hili halifai hata kuwa shamba boy
Waislam lipigeni vita kila liendapo hili
 
Kalamu,
Hakika dunia ya wazee wetu iliishia Kariakoo kwa Mtaa New Street na Kariakoo walipojenga Ofisi ya African Association kwa kujitolea kati ya 1929 hadi 1933 wakienda pale kujenga wanachama kila Jumapili.

Ilipoundwa TANU 1954 harakati zote zilikuwa Kariakoo kama mahali pa kuishi na Kariakoo Market hapo sokoni ambako Market Master alikuwa Abdul Sykes na akiuza kadi za TANU ofisini kwake.

Kwangu binafsi unaniletea kumbukumbu nyingi unapitaja Kariakoo hata kwa kejeli.

Muhudumu ya Ofisi ya Market Master alikuwa Mzee Abdallah niliyekuja kumfahamu ukubwani sote tukiwa waajiriwa na East African Cargo Handling Services.

Mzee Abdallah kanipa mengi aliyoshuhudia pale wakati wa kupigania uhuru wa Tanganyika.

Mwalimu Nyerere hapo Kariakoo ndiko alipofahamiana na watu mashuhuri wa mjini kama Mshume Kiyate na Shariff Abdallah Attas.

Mwalimu alipoacha kazi ya ualimu akenda kuishi Kariakoo nyumbani kwa Abdul Sykes Mtaa wa Stanley na Sikukuu.

Kariakoo kwetu ni mahali adhim sana kwani imebeba historia kubwa sana si ya uhuru wa Tanganyika peke yake bali hata historia binafsi ya Mwalimu Nyerere na Mama Maria.

Katika kupambana na maisha ni hapo Kariakoo Mtaa wa Mchikichi na Livingstone Mama Maria alifungua duka dogo la mafuta ya taa.

Kariakoo ni sehemu muhimu katika historia ya taifa letu.


Shariff Abdallah Attas alikuwa na umri huu alipofahamiana na Julius Nyerere sokoni Kariakoo yeye alikuwa mkudanyaji ushuru wa nafaka


Mshume Kiyate akimfariji Mwalimu Nyerere baada ya maasi ya tarehe 20 Januari 1964 yeye alikuwa dalali wa samaki Soko la Kariakoo


Kariakoo Market 1950s
Hiyo hapo kulia nyumba ndogo ndiyo ilikuwa ofisi ya Market Master Mwingereza Brian Hodges na alipotoka Abdul Sykes akachukua nafasi yake​
 
KUWA MUISLAAM SERIKALINI KUNATUSAIDIAJE SISI WAISLAAM...? UISLAAM NI WAKE KWA FAIDA YAKE...NA CHEO CHAKE KWA FAIDA YAKE...
 
Na wakristo walikataa kuhesabiana kwa dini kwenye sensa kwa kujua kuwa wataumbuka,
Na wangeumbuka tu, hivi na wakubali hata kesho tuhesabiane hapa tuone nani wengi? Tatizo hawawezi kukubali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…