Ijumaa Kuu na katazo la kula nyama

Hahahaha.....kufufuka ndio furaha, kufa NI uzuni.....
 
Ila Wakifa Wazazi Tunaangusha Ng'ombe mzima.
 
Kwa hiyo waislamu nao wanayasadiki aliyo yatenda yesu?
Waislamu hawana tatizo na Yesu.Wanaamini kuwa ni nabii ISA.Ni kama wakristo wasivyokuwa na tatizo na mtume Mohamed,maana alihubiri haki na mapendo.Wenye shida ni Sisi wanadam Kwa wanadam,kujifanya tuna Imani kuliko hata hao waanzilishi
 
Kula nyama siyo alama ya furaha..inategemea a na mazingira...Kuna watu kunywa maziwa ni tendon la furaha...so sikubaliani na wewe
Kuna maeneo nyama na au samaki ni mboga ambayo maskini yeyote anamudu kuipata.Lakini kupata maharage ni ngumu zaidi.kwahiyo kwao Kula maharage yaweza kuwa ni siku ya furaha zaidi kuliko nyama
 
Hii naona imekaa kihisia zaidi kuliko kiimani.Hisia ni suala la mtu binafsi,lakini Imani ni hakika ya mambo yaliyofanyika na Yale yatarajiwayo.
Haya Mambo yalianza kabla ya Yesu kuja...pasaka ilikuwepo kabla,nikipindi cha kutubu,unajinyima kwasababu ya dhambi zako ...so kipindi hicho ijumaa kuu walikuwa hawanywi maziwa Wala Kula nyama( hivi vitu vilikuwa vinaashira furaha na starehe) hii ndio sababu kuu na Kuhusu Yesu Kristo ilikuja baada ya kujengeka hisia miongoni mwa watu
 
 
D
Duuu!? Yaani unafananisha kutokula nyama kutokana na kuteswa Kwa Yesu na kutokula nyama kutokana na mwizi kukatwakatwa utumbo nje hahahaha ninecheka Kwa kweli
 
Ameomba andiko linalomzuia kula nyama. Na kwako kama nyama ni Starehe basi kwa wamasai ni kawaida mno. Yaan nyama ni starehe ila Bia, Pizza, nk sio starehe.?
 
D

Duuu!? Yaani unafananisha kutokula nyama kutokana na kuteswa Kwa Yesu na kutokula nyama kutokana na mwizi kukatwakatwa utumbo nje hahahaha ninecheka Kwa kweli
Hangover zikipungua utaelewa tu huo mfano rahisi.
 
Ameomba andiko linalomzuia kula nyama. Na kwako kama nyama ni Starehe basi kwa wamasai ni kawaida mno. Yaan nyama ni starehe ila Bia, Pizza, nk sio starehe.?
Hata mmasai mwenye imani ya kikristo hatakiwi kula nyama ijumaa kuu.Na halijaandikwa kwamba mmasai asipokula nyama atafariki.Hata bia na pizza usibugie Ijumaa-kuu.Ni anasa kubwa.
 
Jibu hoja Nani aliyeweka hilo katazo,na lilianza kutumika lini?
 
Naombeni anaelijua andiko linalokataza wakristo Kula nyama siku ya Ijumaa kuu.Najua ni suala la kiimani,lakini msingi wa Imani ya kikristo,ni Biblia,hivyo tujuzane hilo andiko liko kitabu gani ndani ya Biblia
Hivi siku Kama ya leo yesu ndo alidundwa..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…