dimatteo
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 868
- 932
Ukiwa na uwelewa mdogo huwezi ng'amua hiliWapi imeandikwa kwenye Bible tuwe "waKristo"?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiwa na uwelewa mdogo huwezi ng'amua hiliWapi imeandikwa kwenye Bible tuwe "waKristo"?
Hahahaha.....kufufuka ndio furaha, kufa NI uzuni.....Wewe ndio unachanganya madema.
Ushindi wa imani ya kikristo ulipatikana msalabani (wakati Yesu anakufa) na sio kaburini (wakati anafufuka). Ndio maana makanisa yanatundika misalaba kama alama ya ushindi na sio kutundika makaburi.
Kufufuka kwa Yesu ni matokeo ya kufa kwake, asingekufa na kufufuka kusingekuwepo. Hivyo msingi upo kwenye kufa kwa Yesu.
Ila Wakifa Wazazi Tunaangusha Ng'ombe mzima.Siku ya huzuni unaanzaje kula vinono?Anateswa,kutwezwa,kutokwa damu na kusulubiwa msalabani hadi kufa.Kula nyama ni kiashiria cha furaha na ufahari.Kwa nini ulie huku unacheka?Halafu ni siku moja tu/masaa machache nini kinakushinda?Kwani kila siku huwa unakula nyama?
Waislamu hawana tatizo na Yesu.Wanaamini kuwa ni nabii ISA.Ni kama wakristo wasivyokuwa na tatizo na mtume Mohamed,maana alihubiri haki na mapendo.Wenye shida ni Sisi wanadam Kwa wanadam,kujifanya tuna Imani kuliko hata hao waanzilishiKwa hiyo waislamu nao wanayasadiki aliyo yatenda yesu?
Kuna maeneo nyama na au samaki ni mboga ambayo maskini yeyote anamudu kuipata.Lakini kupata maharage ni ngumu zaidi.kwahiyo kwao Kula maharage yaweza kuwa ni siku ya furaha zaidi kuliko nyamaKula nyama siyo alama ya furaha..inategemea a na mazingira...Kuna watu kunywa maziwa ni tendon la furaha...so sikubaliani na wewe
Haya Mambo yalianza kabla ya Yesu kuja...pasaka ilikuwepo kabla,nikipindi cha kutubu,unajinyima kwasababu ya dhambi zako ...so kipindi hicho ijumaa kuu walikuwa hawanywi maziwa Wala Kula nyama( hivi vitu vilikuwa vinaashira furaha na starehe) hii ndio sababu kuu na Kuhusu Yesu Kristo ilikuja baada ya kujengeka hisia miongoni mwa watuHii naona imekaa kihisia zaidi kuliko kiimani.Hisia ni suala la mtu binafsi,lakini Imani ni hakika ya mambo yaliyofanyika na Yale yatarajiwayo.
Tunatambika.Ila Wakifa Wazazi Tunaangusha Ng'ombe mzima.
"Kuna jamii"Kuna jamii nyama ndio chakula chao cha siku zote cha kawaida kabisa na sio kitu cha kifahari, kwanini wajinyime chakula kisa ijumaa kuu?
"Inategemea na mazingira".Na hayo mazingira yawe Ijumaa-kuu.Kula nyama siyo alama ya furaha..inategemea a na mazingira...Kuna watu kunywa maziwa ni tendon la furaha...so sikubaliani na wewe
Nasi,kula nyama.Kwani shida iko wapi mkuu?Kwahyo hata katazo halikuandikwa lakini alilitenda?
Hilo katazo la mwaka 1960 Leo halipo?
Sasa,kwa nini "tuchokonoane" kwa kusema "hilo" halijaandikwa kwenye Bible?Wapi imeandikwa tuwe waKristu wakati "yeye" hakuwa mKristu?wakristo ni watu wanaoamini katika yesu Kristo ndo maaana tukaitwa wakristo but yesu mwenyewe alikua hana dini inayoitwa ukristo
Ukatoliki una makando kando mengi sana!
Duuu!? Yaani unafananisha kutokula nyama kutokana na kuteswa Kwa Yesu na kutokula nyama kutokana na mwizi kukatwakatwa utumbo nje hahahaha ninecheka Kwa kweliNi kama wewe upite somewhere ukute watu wamempiga mtuhumiwa na kumkatakata mapanga na kumtawanya utumbo, then muda kidogo uingie banda la supu uagize utumbo ndizi, ile memory ya kuona tukio litakufanya ujisikie vibaya hata kuagiza hiyo supu yenyewe.
Ijumaa kuu ni siku ambayo Bwana Yetu Yesu Kristu alisulubiwa vibaya mnooo, ni siku ambayo tunatafakari matendo ya uchungu aliyopitia.
Kwa kifupi kwenye Biblia sidhani kama kuna maandiko juu ya hilo, ila ni sehemu ya Kanisa Katoliki kuliishi kwa imani.
Kama itakuumiza kutokula nyama its your fault. Sie tunakula sato wa kuchoma.
Ameomba andiko linalomzuia kula nyama. Na kwako kama nyama ni Starehe basi kwa wamasai ni kawaida mno. Yaan nyama ni starehe ila Bia, Pizza, nk sio starehe.?Siku ya huzuni unaanzaje kula vinono?Anateswa,kutwezwa,kutokwa damu na kusulubiwa msalabani hadi kufa.Kula nyama ni kiashiria cha furaha na ufahari.Kwa nini ulie huku unacheka?Halafu ni siku moja tu/masaa machache nini kinakushinda?Kwani kila siku huwa unakula nyama?
Hivyo hivyo kikubwa huundwa na kidogo.Ulimwengu hauwezi kua kijiji chenu bali kijiji chenu ni sehemu ndogo sana ya ulimwengu.
Hangover zikipungua utaelewa tu huo mfano rahisi.D
Duuu!? Yaani unafananisha kutokula nyama kutokana na kuteswa Kwa Yesu na kutokula nyama kutokana na mwizi kukatwakatwa utumbo nje hahahaha ninecheka Kwa kweli
Hata mmasai mwenye imani ya kikristo hatakiwi kula nyama ijumaa kuu.Na halijaandikwa kwamba mmasai asipokula nyama atafariki.Hata bia na pizza usibugie Ijumaa-kuu.Ni anasa kubwa.Ameomba andiko linalomzuia kula nyama. Na kwako kama nyama ni Starehe basi kwa wamasai ni kawaida mno. Yaan nyama ni starehe ila Bia, Pizza, nk sio starehe.?
Jibu hoja Nani aliyeweka hilo katazo,na lilianza kutumika lini?Siku ya huzuni unaanzaje kula vinono?Anateswa,kutwezwa,kutokwa damu na kusulubiwa msalabani hadi kufa.Kula nyama ni kiashiria cha furaha na ufahari.Kwa nini ulie huku unacheka?Halafu ni siku moja tu/masaa machache nini kinakushinda?Kwani kila siku huwa unakula nyama?
Hivi siku Kama ya leo yesu ndo alidundwa..?Naombeni anaelijua andiko linalokataza wakristo Kula nyama siku ya Ijumaa kuu.Najua ni suala la kiimani,lakini msingi wa Imani ya kikristo,ni Biblia,hivyo tujuzane hilo andiko liko kitabu gani ndani ya Biblia