Ijumaa ya leo ikukumbushe tu Sabato ni Jumamosi

Haya ni mapokeo ya wazee wa kikristo.
Ukiwa na Yesu Bwana wa Sabato, utakusanyika baada ya Siku sita za kazi SIKU ya Sabato Jumamosi kama Alivyofanya Yesu.

Desturi ya Yesu ni desturi ya mfuasi wake.

Kila anayepumzika Sabato ameshapumzishwa ndani ya moyo wake kwa kuwepo kwa roho mtakatifu ndani yake.

Jiepushe na Mapokeo. Anza kuziishi kanuni za kifalme. Moja sita Fanya kazi sabato ni starehe takatifu ya ibada.
Ndani ya Yesu siku zote ni sawa. Tunaabudu katika roho na kweli. Sio wapi na siku gani.
 
Mbali na yote, nashukurigi sama mola we Catholics hatujawahigi kutikiswa na lolote[emoji23][emoji23] sisi amani tunazo. Ila wap wanateseka juu yetu. Haya kazi iendelew

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Hizi ni kauli za kimapokeo.

Unadhani kwa nini Adam na Hawa wakiwa ndani ya Yesu kabla ya dhambi walipewa siku ya saba. Na Mungu alitangaza hapo badae ni siku ya kusanyiko takatifu.

Msiache kukusanyika kwa pamoja kama ilivyodesturi ya watakatifu. Wakati huohuo amesema tufanye kazi siku sita.

Usimpotoshe Yesu mtumishi
 
Wakatoriki ni watu wema sana.
Ila haibatilishi kuwa maamuzi ya Kanisa kusema Jumapili ndio mbadala wa sabato ni maamuzi ya kimapokeo sio ya kimaandiko.

Hii taarifa lazima tukumbushane kwa upendo sio tu nyie, Bali wanadamj wrote. Maana sabato ni kwa ajili ya Mwanadamu sio myahudi wala msabato.
 
Ndani ya Yesu siku zote ni sawa. Tunaabudu katika roho na kweli. Sio wapi na siku gani.
Yesu aliongozwa na roho na kweli lakini hakukosekana katika mikusanyika ya kiibada siku ya sabato. Na siku ya jumapili ya kwenda kulima alikuwa anakutana na wafuasi wake wakielekea mashambani sio kanisani.

Taarifa hizi ni muhimu kwa mfuasi wa Yesu mnyenyekevu
 
Hizi ni kauli za kimapokeo.

Unadhani kwa nini Adam na Hawa wakiwa ndani ya Yesu kabla ya dhambi walipewa siku ya saba. Na Mungu alitangaza hapo badae ni siku ya kusanyiko takatifu.

Msiache kukusanyika kwa pamoja kama ilivyodesturi ya watakatifu. Wakati huohuo amesema tufanye kazi siku sita.

Usimpotoshe Yesu mtumishi
Kama hujaweza kunielewa basi mimi naishia hapa. Amani ya Kristo iwe nawe.
 
Yesu aliongozwa na roho na kweli lakini hakukosekana katika mikusanyika ya kiibada siku ya sabato. Na siku ya jumapili ya kwenda kulima alikuwa anakutana na wafuasi wake wakielekea mashambani sio kanisani.

Taarifa hizi ni muhimu kwa mfuasi wa Yesu mnyenyekevu
Rudia kusoma nilichoandika kwa taratibu na kimaombi utapata ufahamu.
 
Asante amani ya kristo Bwana wa sabato iwe nawe pia.

Lengo la Uzi ni kutoa taarifa. Ubarikiwe ikiwa sauti ya roho utaipuuza pia Mungu akurehemu.
Bwana wa sabato yupo ndani yangu. Sihitaji siku maalumu kuwa kwenye sabato. Kila siku ni sabato kwangu.

Yesu mwenyewe alikuwa anaenda kwenye masinagogi kwasababu watu ndio walikuwa huko ili awahubirie.

Otherwise alikuwa siku nyingine anapotezea sabato ya siku akiwa na wanafunzi wake mashambani huko hadi wanaanza kuvuna na kula. Mafarisayo nao walikuwa wanamfuata Yesu mashambani na kumhukumu pamoja na wanafunzi wake.
 
Unachanganya

Sabato
Bwana wa Sabato
Pumziko la Sabato ypa siku ya Saba lililotamkwa kabla ya dhambi.

Pumziko la kuwa na Yesu Moyoni.

Watu wa imani zako huwa wanabidii katika Mungu ila sio katika maarifa.

Hatari ni kuangamizwa kwa ukosefu wa maarifa..

Mungu akupe wepesi wa kupokea maarifa haaya.

Ukitaka kumpotosha MTU MPR taarifa nyingi zinazojichanganya. Hii ndicho nakiona kwako. Yesu humjui ikiwa Bado unachanganya Sabato na Kuwa na Yesu.

Haya ni mapokeo yaliyoingia katika ukristo wpua New Age Movements. Post reformation charisma tic movements.

Hizi kauli hazikuwahi kusikika vinywani mwa wakristo kabla ya machafuko ya kiimani na kiroho katne kadhaa baada ya Mitume kulala usingizi wa mauti.
 
Wafuasi wa Hellen wa karne ya 17 mna maneno sana. Ila nawakubali sana kwenye eneo moja, kuwakumbusha watu kwamba duniani sio mwisho. Kuna maisha baada ya dunia hii.

Ufahamu wenu kuhusu Yesu na nini alifanya na matokeo ya alichofanya ni mdogo sana kwasababu mmejifunga kwenye sabato.

Ukiwa ndani ya Yesu ni kiumbe kipya. Sabato ya jumamosi ni ya wayahudi, wewe kiumbe kipya haikuhusu.

Mnatunza sabato bila sanduku la agano?
 
Mk 2:27-28 SUV

Akawaambia, Sabato ilifanyika kwa ajili ya mwanadamu, si mwanadamu kwa ajili ya sabato. Basi Mwana wa Adamu ndiye Bwana wa sabato pia.

Kwahiyo sabato nina mamlaka nayo? Maana wakristu wanashangilia ufufuko wa YESU na sio sabato kwa sababu si wao kwa ajili ya sabato bali sabato ilifanyika kwa ajili ya wao [emoji848]
 
Yesu alifufuka Siku ya kwanza ya Juma.
Leo Ijumaa ndicho kile kinachoitwa Siku Maandalio ya Juma au Siku ya sita.

Jumapili ni Siku ya kwanza ya Juma. Na Sabato kesho ni Jumamosi.

Mambo ya kutafakari.

1: Ni dharau na ukosefu wa adabu kwa Mungu mfalme kuiita Jumapili au ijumaa Sabato. Ni kuhariri sentensi za Mungu.

2: Inatukumbusha Dunia iliumbwa Siku sita za wiki. Hii ya Saba ya Sabato ilikuwa in ofa kwa mwanadamu. Sabato ilifanyika kwa ajili ya mwanadamu. Isingekuwa Sabato wiki ingebaki na Siku sita tu.

3: SABATO imetajwa Mara ya kwanza katika maandiko kabla ya dhambi. Hivyo wazo LA Sabato Galina uhusiano na vivuli vya maagizo ya jangwani.

4: Yesu sio Sabato, wala Sabato sio Yesu. Yesu ni mmiliki au Bwana wa hiyo Sabato. Sabato sio Siku ya wayahudi ni ya Yesu na wanaomfuata.

5: Kukusanyika kwa ibada baada ya Siku sita za kazi kwa Siku isiyo Sabato ya Jumamosi ni kumkosoa na kumdharau Mungu na maagizo yake.

6: Sabato sio kwa ajili ya wakristo. Ni mwanadamu wote. Kama ni mwanadamu na ulikuwa hujui hujachelewa. Nakukumbusha. Ikumbuke Siku ya Sabato.

7: Mungu hakuumba weekend. Alitutengenezea Siku sita za kazi na ya saba ya sabato sio Siku mbili zinazoitwa weekend. Hii taarifa ni muhimu kwako.

Niwatakie ijumaa njema.

Maelekezo ya Mungu hayataki mjadala mrefu yanataka utekelezaji. Huwezi kuhoji kauli za mfalme asiyekosea.
Mzee wangu, ni siku nyingi sana habari ya masiku.

Hamjaachaga tu izi mambo za siku za kuabudu na siku za kusali.

Ni holy friday leo twende tukasali mkuu.
 
Yesu alifufuka Siku ya kwanza ya Juma.
Leo Ijumaa ndicho kile kinachoitwa Siku Maandalio ya Juma au Siku ya sita.

Jumapili ni Siku ya kwanza ya Juma. Na Sabato kesho ni Jumamosi.

Mambo ya kutafakari.

1: Ni dharau na ukosefu wa adabu kwa Mungu mfalme kuiita Jumapili au ijumaa Sabato. Ni kuhariri sentensi za Mungu.

2: Inatukumbusha Dunia iliumbwa Siku sita za wiki. Hii ya Saba ya Sabato ilikuwa in ofa kwa mwanadamu. Sabato ilifanyika kwa ajili ya mwanadamu. Isingekuwa Sabato wiki ingebaki na Siku sita tu.

3: SABATO imetajwa Mara ya kwanza katika maandiko kabla ya dhambi. Hivyo wazo LA Sabato Galina uhusiano na vivuli vya maagizo ya jangwani.

4: Yesu sio Sabato, wala Sabato sio Yesu. Yesu ni mmiliki au Bwana wa hiyo Sabato. Sabato sio Siku ya wayahudi ni ya Yesu na wanaomfuata.

5: Kukusanyika kwa ibada baada ya Siku sita za kazi kwa Siku isiyo Sabato ya Jumamosi ni kumkosoa na kumdharau Mungu na maagizo yake.

6: Sabato sio kwa ajili ya wakristo. Ni mwanadamu wote. Kama ni mwanadamu na ulikuwa hujui hujachelewa. Nakukumbusha. Ikumbuke Siku ya Sabato.

7: Mungu hakuumba weekend. Alitutengenezea Siku sita za kazi na ya saba ya sabato sio Siku mbili zinazoitwa weekend. Hii taarifa ni muhimu kwako.

Niwatakie ijumaa njema.

Maelekezo ya Mungu hayataki mjadala mrefu yanataka utekelezaji. Huwezi kuhoji kauli za mfalme asiyekosea.
Siku ukila Kitimoto iliyo kaangwa na kukaushwa vizuri + ndizi, utaiheshimu tu Jumapili.
 
Wasabato walishalogwa kitambo...
We takataka! sabato ni kwaajili ya Wayahudi
Umekunywa mvinyo wa kahaba Ellen G White ehh??
Camarada otorong'ong'o mzee wa Vatican ahahahaa, nimekufaham kupitia mada za kidini hasa zinazogusia issue ya Sabato ahahah.

Sasa kwa nini usilete andiko lenye ukweli na linalopinga kuwa Jumamosi siyo Sabato ila ni jumapili.

Ila unatoa matusi kejeli, vitisho na dhihaka.
 
Wafuasi wa Hellen wa karne ya 17 mna maneno sana. Ila nawakubali sana kwenye eneo moja, kuwakumbusha watu kwamba duniani sio mwisho. Kuna maisha baada ya dunia hii.

Ufahamu wenu kuhusu Yesu na nini alifanya na matokeo ya alichofanya ni mdogo sana kwasababu mmejifunga kwenye sabato.

Ukiwa ndani ya Yesu ni kiumbe kipya. Sabato ya jumamosi ni ya wayahudi, wewe kiumbe kipya haikuhusu.

Mnatunza sabato bila sanduku la agano?
Akosaye kwa moja amekosa kwa vyote.

#MaendeleoHayanaChama
 
Camarada otorong'ong'o mzee wa Vatican ahahahaa, nimekufaham kupitia mada za kidini hasa zinazowagia Sabato ahahah.

Sasa kwa nini usilete andiko lenye ukweli na linalopinga kuwa Jumamosi siyo Sabato ila ni jumapili.

Ila unatoa matusi kejeli, vitisho na dhihaka.
Huyo jamaa hua ana mihemko sana.

#MaendeleoHayanaChama
 
Wafuasi wa Hellen wa karne ya 17 mna maneno sana. Ila nawakubali sana kwenye eneo moja, kuwakumbusha watu kwamba duniani sio mwisho. Kuna maisha baada ya dunia hii.

Ufahamu wenu kuhusu Yesu na nini alifanya na matokeo ya alichofanya ni mdogo sana kwasababu mmejifunga kwenye sabato.

Ukiwa ndani ya Yesu ni kiumbe kipya. Sabato ya jumamosi ni ya wayahudi, wewe kiumbe kipya haikuhusu.

Mnatunza sabato bila sanduku la agano?
Mtumishi kuna madhehebu zaidi ya 600 ambayo hayamtambui nabii E.G White lakini wanaikumbuka Sabato nje ya Judaism na SDA.

Hivyo tujitahidi kujenga hoja kwa mtazamo wa dunia nzima sio kitanzania au kiyahudi maana sabato ni hoja ya mwanadamu na sio nchi au kikundi cha imani.

Ni kweli Mimi ni Muadventista msabato na mission kuu ni kuwaandaa watu waende mbinguni Yesu anapokuja.

Ndio maana tunawakumbusha na sabato kwa sababu mbinguni hatutaingia na MAPOKEO. Na mbingu sio kwa watu korofi wasiotaka kutii maelekezo ya Mfalme. Hii ni roho au pepo la kiburi. Wasiofahamu wanarehema ila ukipuuza haya baada ya elimu Mungu hatafurahishwa na wewe.

Tuko pamoja mtumishi.
 
Camarada otorong'ong'o mzee wa Vatican ahahahaa, nimekufaham kupitia mada za kidini hasa zinazogusia issue ya Sabato ahahah.

Sasa kwa nini usilete andiko lenye ukweli na linalopinga kuwa Jumamosi siyo Sabato ila ni jumapili.

Ila unatoa matusi kejeli, vitisho na dhihaka.
Hahaha Huyu ni mtu mwema huwa anajifunza kwa kutukana. Ndio njia aliyoichagua.

Ila umri unaenda ajitahidi kuelewa mapema
 
Back
Top Bottom