mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,735
- Thread starter
- #121
Daaa.Siku ukila Kitimoto iliyo kaangwa na kukaushwa vizuri + ndizi, utaiheshimu tu Jumapili.
Wanaokula nyama ya nguruwe wrote wataangamizwa.
Ushahidi.
Isaiah 66:17
[17]They that sanctify themselves, and purify themselves in the gardens behind one tree in the midst, eating swine's flesh, and the abomination, and the mouse, shall be consumed together, saith the LORD.
Watu wale wajitakasao, na kujisafisha katika bustani, nyuma yake aliye katikati; wakila nyama ya nguruwe, na machukizo, na panya; watakoma pamoja, asema BWANA.
Suala la mtu aleje, anaelekeza Mungu aliyeumba sio Mate na uroho wa mlaji.