mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,735
- Thread starter
- #161
mwendo wa kula makande tu
Hili Maandiko yameliweka vizuri.kwahio siku ya sabato hutakiwi kufanya kazi yoyote?
Sio siku ya kufanya kazi za kipato maana ulikuwa umakitafuta siku sita.
1: Ni siku ya kusanyiko takatifu la ibada (Holy Convocation).
2: Ni siku ya kustarehe kwa kuwa na Masa mengi na Mungu na neno lake maana kiukweli hata yeye alijua ulikuwa Bize kutafuta shilingi. Sabato ndio Siku kuu ya mkristo.
3: Ni siku ya Kuwafanyia wengine mema. Kuwapooza wagonjwa, Kuwafungua wanaoteswa na majini na uchawi, kuwapa faraja watu. Kimsingi Fanya yote aliyofanya Yesu siku ya sabato.
Utaona tofauti kubwa sana.