Uponyaji na uzima
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 666
- 1,255
Ndani ya Yesu siku zote ni sawa. Tunaabudu katika roho na kweli. Sio wapi na siku gani.Haya ni mapokeo ya wazee wa kikristo.
Ukiwa na Yesu Bwana wa Sabato, utakusanyika baada ya Siku sita za kazi SIKU ya Sabato Jumamosi kama Alivyofanya Yesu.
Desturi ya Yesu ni desturi ya mfuasi wake.
Kila anayepumzika Sabato ameshapumzishwa ndani ya moyo wake kwa kuwepo kwa roho mtakatifu ndani yake.
Jiepushe na Mapokeo. Anza kuziishi kanuni za kifalme. Moja sita Fanya kazi sabato ni starehe takatifu ya ibada.
Hizi ni kauli za kimapokeo.Ndani ya Yesu siku zote ni sawa. Tunaabudu katika roho na kweli. Sio wapi na siku gani.
Wakatoriki ni watu wema sana.Mbali na yote, nashukurigi sama mola we Catholics hatujawahigi kutikiswa na lolote[emoji23][emoji23] sisi amani tunazo. Ila wap wanateseka juu yetu. Haya kazi iendelew
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Yesu aliongozwa na roho na kweli lakini hakukosekana katika mikusanyika ya kiibada siku ya sabato. Na siku ya jumapili ya kwenda kulima alikuwa anakutana na wafuasi wake wakielekea mashambani sio kanisani.Ndani ya Yesu siku zote ni sawa. Tunaabudu katika roho na kweli. Sio wapi na siku gani.
Kama hujaweza kunielewa basi mimi naishia hapa. Amani ya Kristo iwe nawe.Hizi ni kauli za kimapokeo.
Unadhani kwa nini Adam na Hawa wakiwa ndani ya Yesu kabla ya dhambi walipewa siku ya saba. Na Mungu alitangaza hapo badae ni siku ya kusanyiko takatifu.
Msiache kukusanyika kwa pamoja kama ilivyodesturi ya watakatifu. Wakati huohuo amesema tufanye kazi siku sita.
Usimpotoshe Yesu mtumishi
Asante amani ya kristo Bwana wa sabato iwe nawe pia.Kama hujaweza kunielewa basi mimi naishia hapa. Amani ya Kristo iwe nawe.
Rudia kusoma nilichoandika kwa taratibu na kimaombi utapata ufahamu.Yesu aliongozwa na roho na kweli lakini hakukosekana katika mikusanyika ya kiibada siku ya sabato. Na siku ya jumapili ya kwenda kulima alikuwa anakutana na wafuasi wake wakielekea mashambani sio kanisani.
Taarifa hizi ni muhimu kwa mfuasi wa Yesu mnyenyekevu
Bwana wa sabato yupo ndani yangu. Sihitaji siku maalumu kuwa kwenye sabato. Kila siku ni sabato kwangu.Asante amani ya kristo Bwana wa sabato iwe nawe pia.
Lengo la Uzi ni kutoa taarifa. Ubarikiwe ikiwa sauti ya roho utaipuuza pia Mungu akurehemu.
UnachanganyaBwana wa sabato yupo ndani yangu. Sihitaji siku maalumu kuwa kwenye sabato. Kila siku ni sabato kwangu.
Yesu mwenyewe alikuwa anaenda kwenye masinagogi kwasababu watu ndio walikuwa huko ili awahubirie.
Otherwise alikuwa siku nyingine anapotezea sabato ya siku akiwa na wanafunzi wake mashambani huko hadi wanaanza kuvuna na kula. Mafarisayo nao walikuwa wanamfuata Yesu mashambani na kumhukumu pamoja na wanafunzi wake.
Wafuasi wa Hellen wa karne ya 17 mna maneno sana. Ila nawakubali sana kwenye eneo moja, kuwakumbusha watu kwamba duniani sio mwisho. Kuna maisha baada ya dunia hii.Unachanganya
Sabato
Bwana wa Sabato
Pumziko la Sabato ypa siku ya Saba lililotamkwa kabla ya dhambi.
Pumziko la kuwa na Yesu Moyoni.
Watu wa imani zako huwa wanabidii katika Mungu ila sio katika maarifa.
Hatari ni kuangamizwa kwa ukosefu wa maarifa..
Mungu akupe wepesi wa kupokea maarifa haaya.
Ukitaka kumpotosha MTU MPR taarifa nyingi zinazojichanganya. Hii ndicho nakiona kwako. Yesu humjui ikiwa Bado unachanganya Sabato na Kuwa na Yesu.
Haya ni mapokeo yaliyoingia katika ukristo wpua New Age Movements. Post reformation charisma tic movements.
Hizi kauli hazikuwahi kusikika vinywani mwa wakristo kabla ya machafuko ya kiimani na kiroho katne kadhaa baada ya Mitume kulala usingizi wa mauti.
Mk 2:27-28 SUV
Akawaambia, Sabato ilifanyika kwa ajili ya mwanadamu, si mwanadamu kwa ajili ya sabato. Basi Mwana wa Adamu ndiye Bwana wa sabato pia.
Mzee wangu, ni siku nyingi sana habari ya masiku.Yesu alifufuka Siku ya kwanza ya Juma.
Leo Ijumaa ndicho kile kinachoitwa Siku Maandalio ya Juma au Siku ya sita.
Jumapili ni Siku ya kwanza ya Juma. Na Sabato kesho ni Jumamosi.
Mambo ya kutafakari.
1: Ni dharau na ukosefu wa adabu kwa Mungu mfalme kuiita Jumapili au ijumaa Sabato. Ni kuhariri sentensi za Mungu.
2: Inatukumbusha Dunia iliumbwa Siku sita za wiki. Hii ya Saba ya Sabato ilikuwa in ofa kwa mwanadamu. Sabato ilifanyika kwa ajili ya mwanadamu. Isingekuwa Sabato wiki ingebaki na Siku sita tu.
3: SABATO imetajwa Mara ya kwanza katika maandiko kabla ya dhambi. Hivyo wazo LA Sabato Galina uhusiano na vivuli vya maagizo ya jangwani.
4: Yesu sio Sabato, wala Sabato sio Yesu. Yesu ni mmiliki au Bwana wa hiyo Sabato. Sabato sio Siku ya wayahudi ni ya Yesu na wanaomfuata.
5: Kukusanyika kwa ibada baada ya Siku sita za kazi kwa Siku isiyo Sabato ya Jumamosi ni kumkosoa na kumdharau Mungu na maagizo yake.
6: Sabato sio kwa ajili ya wakristo. Ni mwanadamu wote. Kama ni mwanadamu na ulikuwa hujui hujachelewa. Nakukumbusha. Ikumbuke Siku ya Sabato.
7: Mungu hakuumba weekend. Alitutengenezea Siku sita za kazi na ya saba ya sabato sio Siku mbili zinazoitwa weekend. Hii taarifa ni muhimu kwako.
Niwatakie ijumaa njema.
Maelekezo ya Mungu hayataki mjadala mrefu yanataka utekelezaji. Huwezi kuhoji kauli za mfalme asiyekosea.
Siku ukila Kitimoto iliyo kaangwa na kukaushwa vizuri + ndizi, utaiheshimu tu Jumapili.Yesu alifufuka Siku ya kwanza ya Juma.

Kwahiyo unajipa moyo na kujifariji kuenda kinyume na maandiko.Mbali na yote, nashukurigi sama mola we Catholics hatujawahigi kutikiswa na lolote[emoji23][emoji23] sisi amani tunazo. Ila wap wanateseka juu yetu. Haya kazi iendelew
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Wasabato walishalogwa kitambo...
Camarada otorong'ong'o mzee wa Vatican ahahahaa, nimekufaham kupitia mada za kidini hasa zinazogusia issue ya Sabato ahahah.We takataka! sabato ni kwaajili ya Wayahudi
Umekunywa mvinyo wa kahaba Ellen G White ehh??
Akosaye kwa moja amekosa kwa vyote.Wafuasi wa Hellen wa karne ya 17 mna maneno sana. Ila nawakubali sana kwenye eneo moja, kuwakumbusha watu kwamba duniani sio mwisho. Kuna maisha baada ya dunia hii.
Ufahamu wenu kuhusu Yesu na nini alifanya na matokeo ya alichofanya ni mdogo sana kwasababu mmejifunga kwenye sabato.
Ukiwa ndani ya Yesu ni kiumbe kipya. Sabato ya jumamosi ni ya wayahudi, wewe kiumbe kipya haikuhusu.
Mnatunza sabato bila sanduku la agano?
Huyo jamaa hua ana mihemko sana.Camarada otorong'ong'o mzee wa Vatican ahahahaa, nimekufaham kupitia mada za kidini hasa zinazowagia Sabato ahahah.
Sasa kwa nini usilete andiko lenye ukweli na linalopinga kuwa Jumamosi siyo Sabato ila ni jumapili.
Ila unatoa matusi kejeli, vitisho na dhihaka.
Mtumishi kuna madhehebu zaidi ya 600 ambayo hayamtambui nabii E.G White lakini wanaikumbuka Sabato nje ya Judaism na SDA.Wafuasi wa Hellen wa karne ya 17 mna maneno sana. Ila nawakubali sana kwenye eneo moja, kuwakumbusha watu kwamba duniani sio mwisho. Kuna maisha baada ya dunia hii.
Ufahamu wenu kuhusu Yesu na nini alifanya na matokeo ya alichofanya ni mdogo sana kwasababu mmejifunga kwenye sabato.
Ukiwa ndani ya Yesu ni kiumbe kipya. Sabato ya jumamosi ni ya wayahudi, wewe kiumbe kipya haikuhusu.
Mnatunza sabato bila sanduku la agano?
Hahaha Huyu ni mtu mwema huwa anajifunza kwa kutukana. Ndio njia aliyoichagua.Camarada otorong'ong'o mzee wa Vatican ahahahaa, nimekufaham kupitia mada za kidini hasa zinazogusia issue ya Sabato ahahah.
Sasa kwa nini usilete andiko lenye ukweli na linalopinga kuwa Jumamosi siyo Sabato ila ni jumapili.
Ila unatoa matusi kejeli, vitisho na dhihaka.