Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Nawasalimuni wanangu hapa jamvini. Nisiwachoshe. Napenda kuwapa changamoto na chemsha bongo kwa kutumia hypothesis kama namna ya kutoa mawazo yenu kwa rais wenu. Je kama mtanzania, ungejaliwa kupewa nafasi hata nusu saa au dakika kumi hata saa kuongea na rais SSH, ungemwambia nini cha mno au ungetaka afanye nini cha mno? Hebu poromosheni hoja hapa ili mama au watu wake wasome tumsaidie namna ya kuendesha nchi tuliyomkasimisha. Pia hii ni fursa ya kumpa taarifa kuwa nchi si yake bali yetu na yuko pale kwa muda.
Karibuni mtoe hoja wanangu ili tuiendesha nchi yetu hata kama ni kinadharia.
Nitamshauri 2025 akubaliane na gazeti la uhuru
1. Ningempongeza kwa kusikiliza kilio cha muda mrefu cha watumishi wa umma angalau kuanza kushughulikia madaraja yao.
Nawasalimuni wanangu hapa jamvini. Nisiwachoshe. Napenda kuwapa changamoto na chemsha bongo kwa kutumia hypothesis kama namna ya kutoa mawazo yenu kwa rais wenu. Je kama mtanzania, ungejaliwa kupewa nafasi hata nusu saa au dakika kumi hata saa kuongea na rais SSH, ungemwambia nini cha mno au ungetaka afanye nini cha mno? Hebu poromosheni hoja hapa ili mama au watu wake wasome tumsaidie namna ya kuendesha nchi tuliyomkasimisha. Pia hii ni fursa ya kumpa taarifa kuwa nchi si yake bali yetu na yuko pale kwa muda.
Karibuni mtoe hoja wanangu ili tuiendesha nchi yetu hata kama ni kinadharia.
Ningemwomba hela

Nitamahuruku kwa kufanya mambo yanaenda kitaani ila nitamshauri akomeshe utitiri wa taasisi za kudai Kodi na tozo.Tuwe na window au mkeka mmja tulipie hapo tuendelee na maisha.
Nawasalimuni wanangu hapa jamvini. Nisiwachoshe. Napenda kuwapa changamoto na chemsha bongo kwa kutumia hypothesis kama namna ya kutoa mawazo yenu kwa rais wenu. Je kama mtanzania, ungejaliwa kupewa nafasi hata nusu saa au dakika kumi hata saa kuongea na rais SSH, ungemwambia nini cha mno au ungetaka afanye nini cha mno? Hebu poromosheni hoja hapa ili mama au watu wake wasome tumsaidie namna ya kuendesha nchi tuliyomkasimisha. Pia hii ni fursa ya kumpa taarifa kuwa nchi si yake bali yetu na yuko pale kwa muda.
Karibuni mtoe hoja wanangu ili tuiendesha nchi yetu hata kama ni kinadharia.
1. Aache kuchukia na kuwatengua wasukuma & kanda ya ziwa

Yeye anaweza kuheshimu kura za wananchi,je,chama chake kitaweza hilo?1. Ningempongeza kwa kusikiliza kilio cha muda mrefu cha watumishi wa umma angalau kuanza kushughulikia madaraja yao.
2. Aheshimu kura za watanzania, aheshimu demokrasia. Pengine kauli yake ya hata mkipiga kula yenu kwingine chama changu kitaunda serikali ni ya kifedhuli alitakiwa kuomba radhi!
Ahsante
Ningemshauri apitishe Katiba ya warioba
Nawasalimuni wanangu hapa jamvini. Nisiwachoshe. Napenda kuwapa changamoto na chemsha bongo kwa kutumia hypothesis kama namna ya kutoa mawazo yenu kwa rais wenu. Je kama mtanzania, ungejaliwa kupewa nafasi hata nusu saa au dakika kumi hata saa kuongea na rais SSH, ungemwambia nini cha mno au ungetaka afanye nini cha mno? Hebu poromosheni hoja hapa ili mama au watu wake wasome tumsaidie namna ya kuendesha nchi tuliyomkasimisha. Pia hii ni fursa ya kumpa taarifa kuwa nchi si yake bali yetu na yuko pale kwa muda.
Karibuni mtoe hoja wanangu ili tuiendesha nchi yetu hata kama ni kinadharia.
Yupo sanaaa hadi 2030Apumzike miaka mi4 inamtosha sana...kwanza dini hairuhusu mwanamke kuongoza..pili viatu havimtoshi..kazi hawezi ameiga za mwenda zake ndio mana kutwa kusema kazi iendelee..hana ubunifu serikali kutwa kuongeza kodi wakijinasibu kutatua kero huku wakienda kukopa pesa ili kutatubkero zile zile walizosema zitatatuliwa kwa tozo...kiufupi ampumzike.
#MaendeleoHayanaChama
Ningemshauri apitishe Katiba ya warioba
Vipi ameshaipitisha?Uwe unamsikiliza Rais basi