Sawa endeleeni kujidanganya na kujifariji
Lakini ukweli mnaujua ni jinsia gani wanaopenda zaidi kuliwazwa na kufarijiwa na wenzao, pale wanapotoka mihangaikoni na wakiwa na stress kwa zile kauli kama, "pole na uchovu mpenzi" au "karibu chakula kipenzi" nk na jinsi wanavyohaha wakizikosa
Na mkumbuke wanawake wana uwezo wa kumultitask mwanamke ana uwezo wa kutoka kazini na bado akafanya kazi za nyumbani mwenyewe, ila mwanaume ukimuachia nyumba au watoto peke yake wote tunajua lazima atahitaji msaada wa mwanamke, haijalishi ni mke au housegirl kwahiyo endeleeni kuukwepa ukweli