Ikikuuma Kajinyonge, ila ukweli ni kwamba 85% Moses Phiri anaenda Yanga SC Dirisha Dogo au Msimu Mpya ujao

Ikikuuma Kajinyonge, ila ukweli ni kwamba 85% Moses Phiri anaenda Yanga SC Dirisha Dogo au Msimu Mpya ujao

Woyoooooo nakupenda tena na tena๐Ÿ’š๐Ÿ’›๐Ÿ’š๐Ÿ’›๐Ÿ’š๐Ÿ’›
Unaposema unanipenda ndio hapo unaponovuruga kwa kweli.. soon nitakuwa UTOPOLO ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ
 
Baby hamia kwa wananchi upate raha๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Bora nibaki huku bby, raha nipate mara 2, nipate raha kwako na UTOPOLO ya general phiri inipe raha,si nitakufa kwa raha mimi..

Kwa kuwa umesema wewe, haipingwi hiyo mamsapu
 
Ingependeza kama Ungejikita Kuishambulia hoja, Kuliko Kunishambulia Mimi ambaye hunifahamu na hutakaa unifahamu.

UNAZIDI KUDHIHIRISHA UPUMBAVU WAKO.
Upumbavu wangu unauzidi wa Aliyekuzaa?
 
Ila JmF iko biased Sana..mtu anaweza andika uzi wa maana Kabisa..Ila wasiupandishe ila mtu ataandika utumbo na ujinga wa mpira kama wa huyu jamaa na wanaupandisha fasta
 
Yanga ishavuka daraja hilo.
Wachezaji aina ya Phiri sio wakukuhakikishia ubingwa club bingwa Africa.
 
Uswahili mwingi kuliko uprofessional. Mfano kumpanga Ally halafu Kakolanya anakaa benchi mechi muhimu dhidi ya Wydad , ni uswahili tu ndio ulipelekea iwe hivyo. Na sasa Bocco kuanza Phiri, Baleke kukaaa benchi kwenye muhimu. Wote huo ni uswahili tu.
 
Vita ya panzi furaha ya kunguru... Phiri akija Yanga tutakua tumempata Mayele mpya kirahisi kabisa [emoji23][emoji23]
Mkuu we unaamini kua Phiri anauwezo huo?
Japo siungi mkono kuwekwa benchi pale Simba, lakini Phiri hana hadhi ya kucheza Yanga ya sasa.

Yanga inahitaji wachezaji wa kushindana na Al-ahal, Mamenlod na wabishi wengine hapa Africa, sio huyo andunje.

Kumbukeni hakuna kocha atakae kubali kumuweka benchi mchezaji mkali aina ya Mayele.

Huyo Phiri hapo Simba ndio hadhi yake, tusikalili ya Tambwe.
 
Ila JmF iko biased Sana..mtu anaweza andika uzi wa maana Kabisa..Ila wasiupandishe ila mtu ataandika utumbo na ujinga wa mpira kama wa huyu jamaa na wanaupandisha fasta

Hahaaaaa.

Jamaa ANAANDIKA utumbo na UJINGA MWINGI??????????

Alivyokuwa CHIZI anajiona anaakili mno......
 
GENTAMYCINE nimeandika Threads za kutosha hapa Kuuonya Uongozi wa Simba SC juu ya Kocha Mkuu Roberto Oliveira anachomfanyia Mshambuliaji wangu Bora ndani ya Simba SC Moses Phiri ila nikapuuzwa.

Mpaka nikaja hapa JamiiForums Kumuonya Kiongozi Mmoja Mwandamizi wa Simba SC kuwa Yeye ndiyo Kisababishi Kikuu cha Mshambuliaji HATARI Moses Phiri kutopangwa Kimakusudi na Kocha Mkuu Roberto Oliveira.

GENTAMYCINE ukiniuliza ni Mshambuliaji gani ambaye kwa Simba SC hii ya sasa ana Namba yake ya Kudumu na anatakiwa Kuanza kutokana na Uwezo mkubwa ( hasa katika Ufungaji ) haraka bila ya Kuchelewa nitamtaja Mshambuliaji Mzambia Moses Phiri.

Muda si mrefu GENTAMYCINE nimetoka kumsikia Mmoja wa Waandamizi ndani ya Yanga SC ( mwenye Kuheshimika ) kote kote ( Uraiani na Bungeni ) akiwa amekuja katika Ofisi za Kampuni Moja Mikocheni akimthibitishia niliyekuwa na Miadi nae Saa 2 hii Asubuhi kuwa mpaka sasa wana 85% za Kumsajili Mshambuliaji Moses Phiri na kwamba hata Kocha Mkuu wa Yanga SC Miguel Gamondi 'Master' anamuhitaji akiamini kuwa kwa Mpira mwingi wa Pacome Zouzoua, Aziz Ki, Max Zengeli huku nyuma yao akiwepo Doctor Khalid Aucho basi Mshambuliaji Moses Phiri atafunga Magoli mengi hadi mengine Kuyakinai na kuwapa akina Onana, Boko na Baleke nao wawe nayo.

Moses Phiri kwa Upuuzi ulioko Simba SC na kwa Chuki Kubwa ya huyo Kiongozi ndani ya Simba SC na kwa Unafiki mkubwa anaokufanyia Kocha Mkuu Roberto Oliveira Mimi GENTAMYCINE nimebariki kwa Moyo Mmoja na Mkunjufu Wewe kwenda / Kusajili Yanga SC Mkataba wako ukiisha na nimedokezwa kuwa unaisha au Wiki hii au Mwezi huu kama sijakosea.

Nikiwaambia Mimi ni Nabii msibishe.
Naunga mkono hoja ๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘
 
Ila JmF iko biased Sana..mtu anaweza andika uzi wa maana Kabisa..Ila wasiupandishe ila mtu ataandika utumbo na ujinga wa mpira kama wa huyu jamaa na wanaupandisha fasta
Nyota yangu Kali na ya Asili, Umaarufu na Mvuto wangu, Uwasilishaji wangu wa Kipekee, Uwezo wangu wa Akili ( Upeo ) na Kubarikiwa Kwangu na Mwenyezi Mungu na Shani ( Tunu ) nyingi kumekuwa ni Chukizo Kubwa kwa hawa Wapumbavu wachache Wanaonichukia na Kunionea Wivu mfano wa huyo Uliyemtaja hapo katika Post yako.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
 
Back
Top Bottom