Ikikuuma Kajinyonge, ila ukweli ni kwamba 85% Moses Phiri anaenda Yanga SC Dirisha Dogo au Msimu Mpya ujao

Woyoooooo nakupenda tena na tenaπŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›
Unaposema unanipenda ndio hapo unaponovuruga kwa kweli.. soon nitakuwa UTOPOLO 🐸🐸🐸
 
Baby hamia kwa wananchi upate raha🀣🀣🀣
Bora nibaki huku bby, raha nipate mara 2, nipate raha kwako na UTOPOLO ya general phiri inipe raha,si nitakufa kwa raha mimi..

Kwa kuwa umesema wewe, haipingwi hiyo mamsapu
 
Ingependeza kama Ungejikita Kuishambulia hoja, Kuliko Kunishambulia Mimi ambaye hunifahamu na hutakaa unifahamu.

UNAZIDI KUDHIHIRISHA UPUMBAVU WAKO.
Upumbavu wangu unauzidi wa Aliyekuzaa?
 
Ila JmF iko biased Sana..mtu anaweza andika uzi wa maana Kabisa..Ila wasiupandishe ila mtu ataandika utumbo na ujinga wa mpira kama wa huyu jamaa na wanaupandisha fasta
 
Yanga ishavuka daraja hilo.
Wachezaji aina ya Phiri sio wakukuhakikishia ubingwa club bingwa Africa.
 
Uswahili mwingi kuliko uprofessional. Mfano kumpanga Ally halafu Kakolanya anakaa benchi mechi muhimu dhidi ya Wydad , ni uswahili tu ndio ulipelekea iwe hivyo. Na sasa Bocco kuanza Phiri, Baleke kukaaa benchi kwenye muhimu. Wote huo ni uswahili tu.
 
Vita ya panzi furaha ya kunguru... Phiri akija Yanga tutakua tumempata Mayele mpya kirahisi kabisa [emoji23][emoji23]
Mkuu we unaamini kua Phiri anauwezo huo?
Japo siungi mkono kuwekwa benchi pale Simba, lakini Phiri hana hadhi ya kucheza Yanga ya sasa.

Yanga inahitaji wachezaji wa kushindana na Al-ahal, Mamenlod na wabishi wengine hapa Africa, sio huyo andunje.

Kumbukeni hakuna kocha atakae kubali kumuweka benchi mchezaji mkali aina ya Mayele.

Huyo Phiri hapo Simba ndio hadhi yake, tusikalili ya Tambwe.
 
Ila JmF iko biased Sana..mtu anaweza andika uzi wa maana Kabisa..Ila wasiupandishe ila mtu ataandika utumbo na ujinga wa mpira kama wa huyu jamaa na wanaupandisha fasta

Hahaaaaa.

Jamaa ANAANDIKA utumbo na UJINGA MWINGI??????????

Alivyokuwa CHIZI anajiona anaakili mno......
 
Naunga mkono hoja πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Ila JmF iko biased Sana..mtu anaweza andika uzi wa maana Kabisa..Ila wasiupandishe ila mtu ataandika utumbo na ujinga wa mpira kama wa huyu jamaa na wanaupandisha fasta
Nyota yangu Kali na ya Asili, Umaarufu na Mvuto wangu, Uwasilishaji wangu wa Kipekee, Uwezo wangu wa Akili ( Upeo ) na Kubarikiwa Kwangu na Mwenyezi Mungu na Shani ( Tunu ) nyingi kumekuwa ni Chukizo Kubwa kwa hawa Wapumbavu wachache Wanaonichukia na Kunionea Wivu mfano wa huyo Uliyemtaja hapo katika Post yako.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…