Ikinyesha kidogo tu tayari andika Maumivu kwenye visimbuzi

Ikinyesha kidogo tu tayari andika Maumivu kwenye visimbuzi

Inakuaje hawa Azam Decoder?

Yaani tuma nyunyu tu TV ina stuck. Sasa si wangesema mapema kuwa hizi decoders zao zinatumika wakati wa jua tu masika tufanye utaratibu mwingine?
Unaacha kwenda kazini asubuhi yote hii unaangalia TV. Halafu ndio unataka nikuachie mtoto umlee utamfundisha nn zaidi ya uvivu??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wenzio kwenye mabenk ma office mbali mbali wana visimbuzi huku shighuli zinaendelea.
Tofauti na wewe ambae kazi ya kipato chako hakikiruhusu kuangalia kisimbusi.
Mwanaume unafanya kazi ya teller bank, unasubiri wanaume wenzako watafute hela uje uwahesaboe. .


Ofisini unaenda kufanya kaz au kuangalia TV? Mwanaume unalia lia kuhusu kuangalia TV🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom