Ikinyesha kidogo tu tayari andika Maumivu kwenye visimbuzi

Inakuaje hawa Azam Decoder?

Yaani tuma nyunyu tu TV ina stuck. Sasa si wangesema mapema kuwa hizi decoders zao zinatumika wakati wa jua tu masika tufanye utaratibu mwingine?
Mkuu, swali lako lina mantiki! Lakini, kama tulivyo hapa JF, hata mtu alete, au aulize swali la maana, lazima atapata majibu ya HOVYO!
Ukisikiliza matangazo ya Azam kuhusiana na hivyo ving'amuzi, wanatuambia vinaonyesha vizuri, bila kujali mvua, wala upepo mkali. Sasa, wengi tunaona ni kinyume na tulivyo tangaziwa! Ni kweli, mvua kidogo ikiwa inanyesha, utaona stuck, au MGANDO kabisa! Bila kuhoji hivyo, wahusika watarekebishaaa?
Halafu mkuu Chizi Maarifa ,vipi mbona sikuoni kule kwenye ile "HADITHI" ya "MASTER" na yule "MZENJI"?
 
Moderators wameona wampambanie... Wamenizuia nisi comment. Wanaona namkosoa nao wanakosa hadithi. Ni kama wameingiwa na woga sana sababu sisi wengine huwa hatupendi uongo.
 
...Sio Kila Mtu ana Fanya Kazi Mchana, Mkuu! Wengine Wana zamu ya Usiku na Mchana ni kuangalia TV TU! Ameuliza Swali la maana!
Huyu kazi zake ni za asubuhi na mchana hadi saa 3 usiku ndio maana nimeshangaa kwanini analalamika kuangalia TV saa hizi. Anauza matunda pale makumbusho ilibidi awe ameenda sokoni kuchukua mzigo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wamekupopoa sana mzee lakin hilo tatzo la mvua kidogo inagoma ni kutokana na eneo ulilopo itakuwa signal za Azam tv zipo chini sana pia jaribu kutumia LNB ya azam kwenye dish inaweza ondoa hilo tatzo
 
Moderators wameona wampambanie... Wamenizuia nisi comment. Wanaona namkosoa nao wanakosa hadithi. Ni kama wameingiwa na woga sana sababu sisi wengine huwa hatupendi uongo.
Oooookay! Mwanzoni jamaa walisema umekula BAN, wengine wakasema ni uzi ule tu!
Nashukuru kwa ufafanuzi!
 
Ha ha ha.... Sijala Ban ila pia Moderator s mpaka leo wameshindwa kuniambia wametumia kanuni gani au mimi nlikosea sheria na taratibu zipi. So wamekosa hoja wametumia mabavu tu sababu JAMII FORUMS YA SASA ITS NOT A PLACE WE DARE TO SPEAK OPENLY. WAMEKUWA COMPROMISED.
 
Watu wamekupopoa sana mzee lakin hilo tatzo la mvua kidogo inagoma ni kutokana na eneo ulilopo itakuwa signal za Azam tv zipo chini sana pia jaribu kutumia LNB ya azam kwenye dish inaweza ondoa hilo tatzo
Unadhani nitakuwa natumia LNB ya ZUKU kwenye Azam?
 
Inakuaje hawa Azam Decoder?

Yaani tuma nyunyu tu TV ina stuck. Sasa si wangesema mapema kuwa hizi decoders zao zinatumika wakati wa jua tu masika tufanye utaratibu mwingine?
Hata DSTV ina shida hiyo tena bora Azam kwa kuwa huvumilia.
 
Back
Top Bottom