Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 5,276
- 17,354
Kuna LNB za universal ndo wengi wanatumia,zile za azam zina nguvu sanaUnadhani nitakuwa natumia LNB ya ZUKU kwenye Azam?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna LNB za universal ndo wengi wanatumia,zile za azam zina nguvu sanaUnadhani nitakuwa natumia LNB ya ZUKU kwenye Azam?
Kwani ukitumia ya zuku unazan haitaonesha?,kile ni kinasa mawimbi tuUnadhani nitakuwa natumia LNB ya ZUKU kwenye Azam?
So Azam watakuwa wameniuzia dish lao na LNB za Universal? Watakuwa hawana akili.Kuna LNB za universal ndo wengi wanatumia,zile za azam zina nguvu sana
Sasa watakuwa hawana akili kama wanatuuzia Dish na LNB za hovyo. So shida bado ipo kwao wapuuzi sana.Kwani ukitumia ya zuku unazan haitaonesha?,kile ni kinasa mawimbi tu
Sasa kwa nini waniuzie cha Zuku ikiwa nimenunua kila kitu kwao? Wana akili kweli hawa?Kwani ukitumia ya zuku unazan haitaonesha?,kile ni kinasa mawimbi tu
Kama vyote umenunua kwao basi hilo tatzo la kupoteza signal linatokana na mahali ulipo,ili tatzo niliwah kulipata,nilivyobadili LNB na kuweka ya azam siku hz kukiwa na mvua kidogo tunaendelea kuangalia tuSasa kwa nini waniuzie cha Zuku ikiwa nimenunua kila kitu kwao? Wana akili kweli hawa?
Binafsi, huwa nafurahi sana ninapokutana na michango ya ufafanuzi mzuri kama wako, pindi mtu aulizapo kitu, na si kejeri na utani!Kama vyote umenunua kwao basi hilo tatzo la kupoteza signal linatokana na mahali ulipo,ili tatzo niliwah kulipata,nilivyobadili LNB na kuweka ya azam siku hz kukiwa na mvua kidogo tunaendelea kuangalia tu