Ikinyesha kidogo tu tayari andika Maumivu kwenye visimbuzi

Ikinyesha kidogo tu tayari andika Maumivu kwenye visimbuzi

Wenzio kwenye mabenk ma office mbali mbali wana visimbuzi huku shighuli zinaendelea.
Tofauti na wewe ambae kazi ya kipato chako hakikiruhusu kuangalia kisimbusi.
Wewe ni msomi na una fanya kazi nzuri. Hao wanaofanya manual work hawaelewi haya mambo....
 
Mwanaume unafanya kazi ya teller bank, unasubiri wanaume wenzako watafute hela uje uwahesaboe. .

Ofisini unaenda kufanya kaz au kuangalia TV? Mwanaume unalia lia kuhusu kuangalia TV🤣🤣🤣
Sisi wanaume tuna pesa tunaangalia TV anytime tunapokuwa na nafasi kujua dunia nyingine inaendeleaje. Tunaangalia hbr za uchumi soko la Dunia, Finance n.k but pia kwa sisi ambao si vibarua unakuta tuna enjoy life ndo likizo hii n.k nyie waendesha boda boda hamwezi kupata nafasi ya kuangalia TV muda huu.
 
Ni mwendawazimu tu anatafuta kitu alicho nacho. Watu wanatafuta kitu ambacho hawana.
Mo mwenyewe ana pesa,ila muda huu yupo bize,haangalii Masaptasapta,wewe ni nani nchi hii ambaye unaangalia TV saa hizi na huna shida ya pesa?
Taja jina niku-google nione hata wikipedia huko.
 
Uwe unampeleka amamsalimia then unarudi nae, ukija kuhamaki una kibendi kingine
Huyu siwezi kumuongezea mtoto mwingine, ni mvivu sana hapendi kufanya kazi, imagine anauza matunda makumbusho anashindwa hata kujiongeza aweke kamashine ka popcorn pembeni aongeze kipato kutwa yupo Jf ananikwaza sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mo mwenyewe ana pesa,ila muda huu yupo bize,haangalii Masaptasapta,wewe ni nani nchi hii ambaye unaangalia TV saa hizi na huna shida ya pesa?
Taja jina niku-google nione hata wikipedia huko.
Mo siyo role model wangu. Lakini pia kila mtu ana maisha yake. Mo anapost mambo insta bakhresa hapost. Unaona tofauti? Elon Musk anashinda Twitter but kuna matajiri hawapo twitter. Yaani kila mtu ana maisha yake kwa wakati wake
 
Huyu siwezi kumuongezea mtoto mwingine, ni mvivu sana hapendi kufanya kazi, imagine anauza matunda makumbusho anashindwa hata kujiongeza aweke kamashine ka popcorn pembeni aongeze kipato kutwa yupo Jf ananikwaza sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama mimba inaingia tu kwa maneno basi kazi siwezi.
 
Mo siyo role model wangu. Lakini pia kila mtu ana maisha yake. Mo anapost mambo insta bakhresa hapost. Unaona tofauti? Elon Musk anashinda Twitter but kuna matajiri hawapo twitter. Yaani kila mtu ana maisha yake kwa wakati wake
Bakhresa hapost,ila unamjua,wewe ni nani ambaye pesa siyo hitaji lako na unakaa kuangalia TV badala hata ya ku-streamku-stream?
 
Bakhresa hapost,ila unamjua,wewe ni nani ambaye pesa siyo hitaji lako na unakaa kuangalia TV badala hata ya ku-streamku-stream?
Unamfaham Saul? Si kila tajiri anapenda kufahamika na watu wa hali duni kiakili. Kuna matajiri wanafahamika tu na watu wenye akili 😂
 
Back
Top Bottom